Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari haina misfire,engine inavuta
Vizuri,TATIZO utumiaji wake wa mafuta upo juu Sana yaani km 5 per litre.Mafundi wananiambia tatizo Ni control box.Je wapo sawa.Ni Suzuki escudo old model CC 1590.
0716675111 Fundi Jumaa
 
TAHADHARI KWA WANAONUNUA MAGARI: Kabla ya kununua gari ulilochagua, iwe show room au kwa mtu mwengine yeyote hakikisha kabla ya kufanya malipo chukua nambari ya chassis ya gari hilo na uwasiliane na ofisi ya Interpol iliyopo ghorofa ya saba Jengo la Makao Makuu ya Polisi mtaa wa Ghana mkabala na jengo la Posts ili waangalie kwenye system ya Interpol iwapo gari hilo halijawahi kusajiliwa kuwa ni la wizi miongoni mwa nchi zaidi wanachama wa Interpol duniani. Bila kupata uhakika kutoka interpol kuna hatari ukanunua gari la wizi na ukajikuta unaliacha mikononi mwa polisi pindi ukikamatwa nalo wakati wa operesheni za interpol za kukamata magari ya wizi miongoni mwa nchi wanachama zinazofanyika kila Mwaka.
Asante sana
 
Jamani.mimi gari yangu toyota fielder, taa ya imegence break imewaka kwenye dashboard muda wote. Navojua ni kwamba ni weka emergency break ndio inatakiwa kiwaka, but sasa hivi hata nishushe bado inawaka. Msaada tafadhali
 
Check break fluid
 
Logic ya kukagua magari nje ilikua kuhakikisha magari yasiyo na viwango hayaruhusiwi kuja nchini. Yanabaki hukohuko. Sasa TBS imeamua yakaguliwe baada ya kufika bandarini.

Yani ukiagiza gari Japan hata kama ni "mkweche" una uhakika litafika Dar. Na baada ya kukaguliwa na kuonekana ni "mkweche" utaambiwa ukalipie kwenye karakana ya UDA litengenezwe.

UDA watakutengenezea kwa gharama wanazotaka. Umenunua $2,000 unaambiwa matengenezo ni TZS 5M, hapo bado TRA hawajakutandika kodi ya 7M. Kama huna hela za matengenezo unalidump gari lako na kuondoka. Kwa kifupi tumeamua kuwa dampo.

Kwanini magari yasikagukiwe hukohuko nje ili kupunguza mlundikano wa magari mabovu nchini? Kwanini tunalazimisha kukagua magari hapa nchini? Tuna wataalamu wa kutosha? Teknolojia ya kutosha? Vitendea kazi vya kutosha? Bandari ya Dar inaingiza karibu magari 5000 kila wiki. Je tutaweza kukagua yote kwa wakati?

Je tumeamua kukagua magari yote nchini ili kuongeza mapato? Kwa kuwa karakana zitakazotengeneza ni za serikali hivyo serikali itajiongezea mapato?

Kwa sasa ukiagiza gari dogo (Saloon, SUV au Hatchback) unalipia ukaguzi karibu $300. TBS wanagawana pesa hizo na ma-agent wanaowasaidia kukagua kwenye nchi magari hayo yanapotoka. Je kwa sasa TBS wanataka kuchukua "mzigo wote" wenyewe bila kugawana na ma-agent hao ili kuongeza mapato? Je tumeruhusu nchi iwe "dampo" for the expense ya kuongeza mapato?

Serikali inapaswa kujitafakari upya juu ya uamuzi huu. Ukaguzi uendelee kufanyika hukohuko magari yanapotoka. Ikionekana hayana viwango yabaki hukohuko.

Rafiki yangu aliwahi kulipia $5,500 Japan lakini baada ya ukaguzi gari ikaonekana ni chini ya kiwango. Akapewa option ya kuchagua gari jingine kwa pesa hiyohiyo. Akapata gari zuri. Lakini kwa utaratibu mpya wa TBS gari ingefika Dar ndo aambiwe ni chini ya kiwango. Halafu ipelekwe garage ya UDA apewe "invoice" ya kulipia mamilioni. Kama hawezi aitelekeze gari
 
Habari wataalam, Mshana Jr asante kwa uzi mzuri, nahitaji kujua operation cost za gari kama toyota ractis au IST
maana nataka fanyia biashara kwaiyo ile service ya kila km 5000 ina include vitu gani na most of the time ina ghalimu kiasi gani?
Na pia nifanye nn ili gari yangu idumu hisikongoloke mapema
Na pia nikipata kuelekezwa garage nzuri ya kufanya service na gharama zake
Bila kusahau ni kiasi gani niweke kwaajili ya dharula kama nimepasua taa au side mirrors ni vitu ambavyo vinaweza tokea barabarani

Natanguliza shukrani
 
Wakati wa service vitu vya msingi ni
Engine oil
Gearbox hydraulic
Coolant
Oil filter nk
Lakini hili lsikusumbue kwakuwa kuna card za service na zina vitu vyote vinavyotakiwa kwenye service ..na pia kumbuka si kila kitu ni cha kubadili wakati w service
Kuhusu kufanya gari idumu ,hili linategemea na dereva na uendeshaji wake
Sishauri sana uende garage kwa ishu ya service tuu kwakuwa filling stations nyingi zina hii huduma
Kuhusu gharama kwa gari kama yako laki inatosha kabisa... Na kuhusu dharura hapa hapatabiriki ndio maana tunakuwa na bima hasa comprehensive lakini kwa dharura ndogo ndogo always kuwa na laki pia
 
Shukrani sana, kama kuna tips zingine ntafurahia kuzipata kupata madini mengi mengi ni muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ractis nimetokea ipenda sana, na itanifaa kwa biashara yangu ya uber, lakini kuna jambo lina nitatiza nilisikia hii gari ni non smoker car sasa sijajua ni unavyo amua kuagiza au ndio zote zipo ivyo maana ile port ndio inatumika kwenye kucharge simu au kuunganisha ile device kwaajili ya mziki kwenye gari Mshana Jr na wadau wengine naomba msaada hapa kidogo
IMG-20210121-WA0020.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ractis nimetokea ipenda sana, na itanifaa kwa biashara yangu ya uber, lakini kuna jambo lina nitatiza nilisikia hii gari ni non smoker car sasa sijajua ni unavyo amua kuagiza au ndio zote zipo ivyo maana ile port ndio inatumika kwenye kucharge simu au kuunganisha ile device kwaajili ya mziki kwenye gari Mshana Jr na wadau wengine naomba msaada hapa kidogoView attachment 1683121

Sent using Jamii Forums mobile app
Am sure sio zote ishu ya port kazi yake sio kibiriti tu ina kazi tofauti nje ya kibiriti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za muda wakuu
Samahani nina shida fulani imenipata

Nina gari ni corola 110 ilikua na shida inaingiza maji kweny engine kuja kugundua ukitoa plug unaona maji kwa ndan. Nikamchek fundi wangu akaniambia tunafungua cylinder head inaenda inarekebishwa then unanunua na oil mpya na plug mpya chombo inarudi fresh.

Juzi tukafanya hyo kazi nkiwa nashuhudia ikarudishiwa saf
Tukatoka kutest kama km 6 hivi tulipofika tunapoenda kuchek tena akaniambia bado inavujisha japo gari ilikua iko safi kabsa akaifungua tena kuirekebisha then kuifunga tena gari ina miss kubwa sana
Akaifungua tena kesho yake nikaifata. Gari nkiiskizia miss bado ipo tena ile ya had gar kuzima.
Nikatoka nayo nkajua ni plug kuja kubadilisha plug gar bado inamiss. Nkamwita akaja ichek tena nkamwambia hii turudi nayo garage ukaichek

Hata garage hatukufika gari ikazima kuja kuchek tena tunakuta maji kweny plug

Tulisema gari ile cylinder head ina creck kwa mbali hapana maana navojua mm ikipata creck mlio unabadilika ila hii mlio si wa kwamba kuna crack.
Nilikua naomba ushauri hapo nn chakufanya maana hata sielew tatizo lipo wapi

Gari ni corola 110
Engine ni 4A kama sikosei
 
Pembezoni mwa engine chini kidogo ya cylinder head kuna breezer za kulia na kushoto check hizo kama zimetobika ndio tatizo
 
Pembezoni mwa engine chini kidogo ya cylinder head kuna breezer za kulia na kushoto check hizo kama zimetobika ndio tatizo
Asante kwa ushauri mshana lakin naona kama tatzo linajirudia rudia

Kwa engine ya 4E cylinder head mpya naweza pata kwa bei gani naona nifunge tu mpya
 
Back
Top Bottom