Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Habari, naomba kuuliza kati ya Harrier tako la nyani na vanguard ipi bora?

Nikiweza kupata ufafanuzi wa uzuri na changamoto ya kila moja itapendeza ili isaidie katika kufanya mamaamuzi

Nawakilisha.
Vanguard ni imara zaidi na stability yake ni kubwa barabarani kuliko kalio ya nyani
 
gari ya ukweli mwaka wa 2 nipo nayo haijawah nisumbua kubadilisha vitu vidogo vidogo tu
20090925233416.jpg
Bado unayo hii ndinga
 
Msaada wakuu

Gari inapiga alarm kama kuna mlango uko wazi. Ila milango yote imefungwa. Nikiiwasha kwenye dash body inaonesha mlango uko wazi. Nikiwasha taa hiyo alama kwenye dashboard inatoka
 
Back
Top Bottom