Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari haina misfire,engine inavuta
Vizuri,TATIZO utumiaji wake wa mafuta upo juu Sana yaani km 5 per litre.Mafundi wananiambia tatizo Ni control box.Je wapo sawa.Ni Suzuki escudo old model CC 1590.
Je inabadili gear vizuri? , inabadili gear zote? Ina power ya kutosha au ndio hadi ukanyage accelerator hadi mwisho?
 
Mambo vp wakuu wazima? Ni katika kuuliza tunapata uwelew na wengine wasiojua wanapata ujuzi au uelewa. Twende kweny swali:

Kuna matangazo nimeona ikiwemo hii kampuni ya bettery za magari ya chro... sijui nn lakin inaanza na jina kama hilo wanasema wanauza bettery lakini kwa wale wateja wao wenye bettery za kampuni yao zimeisha au zinakorofisha in terms of mda umeisha au vp wanazirekebisha zinarudi kweny upya. Nikajarib kufuatilia hili zaid kuna sehem hapa msimbazi centre jamaa wana tangazo kama hilo ila wao wanafanya hiyo huduma kwa mabetri yote so kuna siku nkawa napita nkasema wacha nkafuatilie. Jamaa alinijib the same kwamba wanarudisha bettery inarud kama ilivokua hizi za drycel kama sijakosea kuiandika wakaniambia wanapandikiza seli mpya bettery inarudi kama ilivokua nkasema hebu nije niulize kwa mwenye uelewa vip inapofanyiwa hyo precess ni kweli battery inarudi kweny ubora wake wa mwanzoni hasa ukizingatia hadi kampuni kubwa zinafanya hvyo.
 
Ni sawa tu na kuchaji hizi za maji ni kitu kinawezekana kabisa
 
Engine ya 1g kwenye altezza inavujisha oil nishafanya marekebisho kubadil gasket kuweka "maker" mara kadhaa lakin bado tu naomba ushauri kiufundi kutatua changamoto hii
 
Msaada naomba kujua wapi naweza pata vifaa vya gereji kama Tyre changer,jack ,jack stands, lift .etc pia Naomba kujua kama kuagiza nje inasave gharama au laah?
 
Habari ya siku ya leo ndugu zangu, naomba msaada wenu najua hapa kuna watu wa magari wengi.
Natafuta gari kwaajili ya kufanya rideshare (bolt na uber) nina leseni daraja C na ndio ambayo saizi inatakiwa uwe nayo kwaajili ya kufanya iyo biashara pia nina cheti cha tabia njema/uraia mwema.
Mshana Jr
Kama mtu ana gari yake anatafuta kijana nipo
Natanguliza shukrani
 
Agiza nje hasa Alibaba ukishindwa nicheki kwa msaada zaidi ..ukiagiza mwenyewe unasave pakubwa..pia usiache kuagiza na diagnosis machine zinalipa sana
 
Habari ya siku ya leo ndugu zangu, naomba msaada wenu najua hapa kuna watu wa magari wengi.
Natafuta gari kwaajili ya kufanya rideshare (bolt na uber) nina leseni daraja C na ndio ambayo saizi inatakiwa uwe nayo kwaajili ya kufanya iyo biashara pia nina cheti cha tabia njema/uraia mwema.
Mshana Jr
Kama mtu ana gari yake anatafuta kijana nipo
Natanguliza shukrani
Nitakuchekia usijali
 
Back
Top Bottom