Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu naomba ushauri, nina Surf Toyota Hilux, nataka niibalishe injini, mnishauri kati ya 3L na 5L ipi itanifaa. Kiufupi ni gari ninalolitumia kwa safari ndefu, kwa sasa lina injini ya 2LT ambayo imechoka, gearbox ni manual. Wataalam naomba mnishauri.
 
Weka 3l
 
Mkuu 5L ni engine yenye pulling zaidi ya 3L, na ukiziangalia zinaingiliana kwa mengi. 5L inakutaka uwe mtu wa service sana na haitaki shida kwa kuishiwa ishiwa maji.....3L ni roho ya paka mkuu. Nilitumia 5L...kwa safari ndefu utaifurahia na ukiimatch vizuri na diff ya high afu utembee long safari utafurahi sana....inachapa mwendo balaa....shida ni uwe macho hasa kuifanyia service....5L yangu jamaa kaiunguza sababu ya kuchemsha hivyo ntahamia kwy roho ya paka 3L japo ingine zote hizo kwa sasa zinaenda above 5 Million.
 
Wakuu ninaomba kujuzwa kuhusu hii gari toyota starlet carat toka nimenunua service nnayofanya ni kubadilisha engine oil na hydrolic ya gear box ni mwaka wa pili sasa ukiachia kubadilisha cv joint ambayo ilianza kupiga kelele mguu wa mbele mara moja hakuna kitu kingine nilichobadilisha naombeni msaada je fundi anaweza niangalizia vitu vingine labda vimeisha mana ni muda mrefu huwa natembea maximum 25km kwa siku
 
Wadau,nawaombeni ushauri, nataka kununua gari kati ya Suzuki Escudo 3rd model au Toyota Harrier. Plz naomba mwongozo wa ubora, uimara na gharama za matunzo kwa gari hizo au nyingine ni kwa matumizi ya kawaida tu. Thanks in advance..!
 
Harrier ni nzuri lakini inapenda matunzo kama yai
 
Naomba kujuzwa kuhusu magari ya Nissan jmn,hasa hizi Sedan
nayapenda mnoo ila naambiwa yanalala gereji sanaa, mara spares ghali
Mafundi wazuri wa Nissan Dar yet bei nafuu wanapatikana wapi
 
Kiongozi na wakuu wengine,

Eti kuna tatizo kuagiza gari nchini ambalo kuendesha ni upande wa kulia, badala ya kushoto kama iliyozoeleka Tz? Nini madhara yake na usumbufu wake?

Je, kuna magari mengi chini ya right-hand traffic?
Hakuna shida yoyote zaidi ya mazoea kwahiyo usijali kabisa
 
Back
Top Bottom