Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nawasalimu bandugu. Naomba kujua kama kuna restrictions zozote za kutumia chasis number kwa gari mpya ambayo iko kwenye mchakato wa usajili.
 
Bado nipo kwenye subira mkuu.....si unajua subira huvuta kheri........
Kama na wewe ni miongoni mwa wamiliki wa baiskeli....basi tuungane kwenye kusubiri.....
haaaa haaaa haaaa haya mkuu tutaanzisha uzi wa baiskeli japo kagari ninako nitakuwa napitia na huku nipate mawili matatu
 
Wakuu Hizi Gari huwa zinanichanganya sana
Kuna Utofauti Upi Hasa Baina ya

Mercedes-Benz G63 AMG
91204366a6b3d35e7709ede35d2fea1c.jpg

Na Brabus 700
42630f7695bcfffb32271c1635d877e9.jpg
 
Jamani kuna Audi A4 nataka chukua lakini sina ujuzi sana na hizi gari. Baadhi ya specifications ni hizi;

Chassis# WAUZZZ8E44A275112
Model Code: GH-8EALT
Version: 2.0
Engine Code: ALT

Nahitaji kufahamu kuhusu hayo hapo juu.
 
Wakuu naomba kujulishwa hili. Inatokea fuse ya redio au inayoleta moto kwenye dashboard imeingua halafu badala ya kubadilisha, fundi anaiunga kwa kutumia waya halafu anairudishia akidai kwamba haitatokea iungue tena. Je fuse za aina hiyo za kuungwa baada ya kuungua zina madhara yoyote kwenye gari au mfumo wa umeme wa gari?
 
Hizo si nzuri kwakuwa likitokea tatizo tena fuse haitaungua kutokana na unene wa wire hivyo kuunguza vitu vingine
 
Wadau nina vitz clavia, nkiweka mafuta ya 10, 000 yaan lita 5, pale kwenye gauge panaleta bar mbili. Lakini nkitembea mfano kutoka tangi bov mpaka posta then nkirud toka posta nkifika mbuyuni, ile bar ya mwisho ina anza ku blink (kuchezacheza) wadau kwa watumiaji wa vitz, is it normal kwa mafuta ya lita 5 kwa distance hyo gari kuanza kublink ile alama ya E ikiashiria fuel tank imeishiwa mafuta? Au kwa kublink kwa hyo E bado naweza kwenda distance ndefu? Gari yangu ni CC 1290.
 
Back
Top Bottom