Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

kama upo dar basi nenda ilala mkuu vyote unapata au hata kama upo mkoani na huko havipatikani unaweza ukafanya mawasiliano na watu waliopo dar then ukatumiwa
Asante boss je ilala duka gani?gari iliyopoteza bumber l6 mbele na taa hiyo mkuu
%24_99.jpeg
 
0715274191 mpigie huyo hata akisema hana mwambie akufanyie mpango hana shida na mwamini .

au mcheki huyo 0715063128 au 0754063128
 
Nataka kununua HONDA FIT....Nani anaijua hii gari vzr au upatikanaji wa vifaa vya gari za Honda HAPA mjini!?
 
Mitsubishi Airtrek, vipi wakuu kuhusu hii gari? Inaweza kuhimili mikikimikiki katika barabara zisizo na lami??
 
Back
Top Bottom