Yekevalia
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 313
- 178
Wakuu naomba ushauri, nina Surf Toyota Hilux, nataka niibalishe injini, mnishauri kati ya 3L na 5L ipi itanifaa. Kiufupi ni gari ninalolitumia kwa safari ndefu, kwa sasa lina injini ya 2LT ambayo imechoka, gearbox ni manual. Wataalam naomba mnishauri.