Mmh engine oil imo ya kutosha kweli? Unafanya service?Wakuu naomba msaada gari yangu huu mwaka wa pili toka niinunua Runx ya 2004 sasa nikienda spidi kuanzia 50 engine inatoa mlio kama kopo, pia nikiwa kwenye foleni inazima ghafla
Service nafanya sana tu tena sijawahi kuzidisha kmMmh engine oil imo ya kutosha kweli? Unafanya service?
Inaishia speed 80 tu wakati wa kuendesha haivuki hapo,Ya zamani ina tatizo gani kubwa?
Isije ikawa tatizo lipo kwenye mfumo wa fuel.Inaishia speed 80 tu wakati wa kuendesha haivuki hapo,
MmmhMsaada,Gari Rav4 ya 2007,push to start,imegoma kuwaka,kila ni kibonyeza start button inaniletea alama ya funguo kwenye dush body,
Hii imetokea baada ya gari kupelekwa kuoshwa ile wamemaliza kuosha nataka kuondoka basi inagoma kuwaka.
Hapo tatizo ni nini wakuu wa haya mambo
Alternator tatizo la kwanzaMsaaada......gari kuzima ghafla pale napotaka kuhama kutoka D kwenda R nakisha betri huishiwa nguvu nakushindwa kuwasha gari na hata taaa za dashboard paka nili bust au niliache kwamda kama nusu saaa