Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu naomba msaada gari yangu huu mwaka wa pili toka niinunua Runx ya 2004 sasa nikienda spidi kuanzia 50 engine inatoa mlio kama kopo, pia nikiwa kwenye foleni inazima ghafla
 
Mmh engine oil imo ya kutosha kweli? Unafanya service?
 
Msaada,Gari Rav4 ya 2007,push to start,imegoma kuwaka,kila ni kibonyeza start button inaniletea alama ya funguo kwenye dush body,
Hii imetokea baada ya gari kupelekwa kuoshwa ile wamemaliza kuosha nataka kuondoka basi inagoma kuwaka.

Hapo tatizo ni nini wakuu wa haya mambo
 
Mmmh
 
Msaaada......gari kuzima ghafla pale napotaka kuhama kutoka D kwenda R nakisha betri huishiwa nguvu nakushindwa kuwasha gari na hata taaa za dashboard paka nili bust au niliache kwamda kama nusu saaa
 
Msaaada ...... gari inajam nakuachia yenyewe tairi ya nyuma kushoto na hii ni baada ya kupita njia rafu yenye mabendo michanga na madumbwi
 
Msaaada......gari kuzima ghafla pale napotaka kuhama kutoka D kwenda R nakisha betri huishiwa nguvu nakushindwa kuwasha gari na hata taaa za dashboard paka nili bust au niliache kwamda kama nusu saaa
Alternator tatizo la kwanza
Sensor za gear shift tatizo la pili... Onana na LEGE tafadhali
 
Msaaada...... gari inagoma kuwaka asubuhi ila ukifungua na kufunga tena upya waya za betrr terminal inawaka
 
Back
Top Bottom