Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,431
2,000
aliokolewa, na kwa sisi tulioona episode ya mwisho ya isidingo ni kuwa, lincoln atapigwa risasi Sebuleni kwake, na mwanamke asiyejulikana, huyo mwanamke akiondoka, lincoln linafumbua macho utasema kafufuka, hapo ndio inaishia, isidingo ina kama mwezi mmoja iishe
Dah kmk ndo wanakatisha hapo ndo mwisho? Huyo aliyempiga sio Claudette kweli?
 

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
866
1,000
Dah kmk ndo wanakatisha hapo ndo mwisho? Huyo aliyempiga sio Claudette kweli?
sio claudette kwasababu claudette atasikia kama kuna mtu kapiga risasi atakimbia kwenda huko sebuleni aliko pigwa risasi, ila kabla hajafika, tunaoneshwa lincoln anazinduka, hiyo ndio scene ya mwisho ya isidingo, isubiri uone

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom