Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ninachoona ni kuwa lalage na Marius waliachana huku wanapendana..

Pia Claudette anampenda sanaaaa Lincoln.
Ila lungi nae kiherehere bado
 
aliokolewa, na kwa sisi tulioona episode ya mwisho ya isidingo ni kuwa, lincoln atapigwa risasi Sebuleni kwake, na mwanamke asiyejulikana, huyo mwanamke akiondoka, lincoln linafumbua macho utasema kafufuka, hapo ndio inaishia, isidingo ina kama mwezi mmoja iishe
Dah kmk ndo wanakatisha hapo ndo mwisho? Huyo aliyempiga sio Claudette kweli?
 
Back
Top Bottom