Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Nina Escobar
Hahahaaa,sijui ni mwanaume gan mwenye wadhifa hakulala naye kuanzia mafioso Lincoln na Ntando huyo ndo Nina duhh
 
Kuna episode moja waliniacha hoi... Mr Zamdela alikuwa anafanya biashara ya magari eti mshua analalamika border za kuingia Tz ulinzi umekuwa tight!!!! Nilicheka balaa
 
Tangu mak ampate Vero na muda mwingi kuwa na gatanga basi sibiya wamemtenga yeye yupogo na cebisa tu ila kwenye life ukiwa na rafiki Kama gatanga,kufanikiwa,ni chap chap yeye anakuchana wazii
 
Hata mm sijaelewa mkuu na watoto wale sio wa sibiya? Ntando naye
Mkewe alisema watoto sio wake sibiya kweli?
Wote watano? Lakini sidhani alikuwa kama anamuonya sibiya kwamba alimsahau sana na watoto kawasahau kwamba sio wake.
Ntando lazima atakuwa alishambuliwa na watu wa mayekiso nae kauliwa
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom