Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Kwa hiyo unataka kusema kua hatimae hii tamthilia ndo inaisha? Duh
aliokolewa, na kwa sisi tulioona episode ya mwisho ya isidingo ni kuwa, lincoln atapigwa risasi Sebuleni kwake, na mwanamke asiyejulikana, huyo mwanamke akiondoka, lincoln linafumbua macho utasema kafufuka, hapo ndio inaishia, isidingo ina kama mwezi mmoja iishe
 
huyu dingi ni hatari sana aisee. Yaani nikitazama kipara chake yaani ni comedian fulani hivi!..
Sibiya ni talented isidingo walimuweka baada ya character ya matiala kuondoka
Lakini matokeo yake sotobe kafanya makubwa zaidi ya matiala.

Jamaa huyu hata akiongea kitu serious bado utacheka .
Nmejaribu kucheki movie na soapy zingine alizocheza
Ila kusitisha isidingo wametuumiza sana
 
inaweza ikarudishwa, maana hata ile series yao wasauzi ya generations ilikatizwa, ila baadae ikarudi, lia series zao nyingi huwa hivyo,
 
Olivia na mumewe na baba mtoto wake halisi
Romeo wa sacandal
FB_IMG_1611758409953.jpg
FB_IMG_1611758358175.jpg
FB_IMG_1611758217415.jpg
FB_IMG_1611758145298.jpg
 
Back
Top Bottom