oh dah aisee basi jamaa anafaidiAmeolewa na ana mtoto mmoja na mumewe
Mumewe pia muigizaji maarufu wa tamthilia ya scandal kwa jina la Romeo
Sotobe nilikua silielewagi lile lijamaa ila siku hizi asee bila kumuona scene yake nahisi bado sijaangalia Isidingo kabisa
Nimewamis sana kina Sechaba pamoja na Nina Zamdela
aliokolewa, na kwa sisi tulioona episode ya mwisho ya isidingo ni kuwa, lincoln atapigwa risasi Sebuleni kwake, na mwanamke asiyejulikana, huyo mwanamke akiondoka, lincoln linafumbua macho utasema kafufuka, hapo ndio inaishia, isidingo ina kama mwezi mmoja iishe
Nina tayari karudi, ila Sechaba naona bado yuko honeymoon
Kile kidemu chake sechaba
Yes, demu wake wa kipindi hiki havutii kuigiza na Sechaba. Lerato ndo ilikua mahali pake yaani. Walikua wanaendana sana mpaka nikawa najua ni mkewe halisi
Yaani ni hatari sana mkuuKipindi Lerato anaumwa aisee duuh Sechaba alipigana sana
ndio, yani hapo kwenye kilichobaki kwenye isidingo ni sibiya na cebisa kuachana, pamoja na sibeko kurudi, series iisheKwa hiyo unataka kusema kua hatimae hii tamthilia ndo inaisha? Duh
Hadi kunyoa upara ili wafanane wote baada ya Lerato nywele kunyonyoka.Kipindi Lerato anaumwa aisee duuh Sechaba alipigana sana
Hivi si hata Anja kaolewa eeh?Ameolewa na ana mtoto mmoja na mumewe
Mumewe pia muigizaji maarufu wa tamthilia ya scandal kwa jina la Romeo
Lerato mwishoni alizingua sanaaaHadi kunyoa upara ili wafanane wote baada ya Lerato nywele kunyonyoka.
Sibiya ni talented isidingo walimuweka baada ya character ya matiala kuondokahuyu dingi ni hatari sana aisee. Yaani nikitazama kipara chake yaani ni comedian fulani hivi!..
inaweza ikarudishwa, maana hata ile series yao wasauzi ya generations ilikatizwa, ila baadae ikarudi, lia series zao nyingi huwa hivyo,Sibiya ni talented isidingo walimuweka baada ya character ya matiala kuondoka
Lakini matokeo yake sotobe kafanya makubwa zaidi ya matiala.
Jamaa huyu hata akiongea kitu serious bado utacheka .
Nmejaribu kucheki movie na soapy zingine alizocheza
Ila kusitisha isidingo wametuumiza sana
Hayo ma generation sijui rhythm city na ile scandal Hamna kitu mabaya.inaweza ikarudishwa, maana hata ile series yao wasauzi ya generations ilikatizwa, ila baadae ikarudi, lia series zao nyingi huwa hivyo,
Oooh no!.. This is bad, tutaimiss sana.ndio, yani hapo kwenye kilichobaki kwenye isidingo ni sibiya na cebisa kuachana, pamoja na sibeko kurudi, series iishe
Hadi kunyoa upara ili wafanane wote baada ya Lerato nywele kunyonyoka.
Hapana sina uhakika kama kaolewa au lahHivi si hata Anja kaolewa eeh?