MADA: Kati ya Amani na haki ipi ianze mwanzo

Asante kwa kuelimisha. Nakubaliana kuwa haki ina pande mbili: kulinda wema na kukemea uovu.

Lakini lengo la mwisho la haki sio kuondoa amani, bali ni kurejesha usawa ili amani ya kudumu ipatikane kwa wote. Amani bila haki ni ukimya wa kulazimisha, na haki bila amani inakuwa kisasi.

Tukipigania haki, tuipiganie kwa njia ya sheria na hoja, sio kwa chuki za kibinafsi. Ndipo Tanzania itapata amani na haki pamoja."

Tumekuelewa. Haki ni upanga wenye makali mawili. Ila kama lengo letu ni Tanzania, basi tuitumie haki kujenga, sio kubomoa."
TUMIA AKILI ...FAFANUZI NILIYO TOA NDIYO YA KWANZA NAYA MWISHO, KUPUNGUZA AU KUONGEZA CHOCHOTE KWENYE HIYO FAFANUZI NI UANITHI WA AKILI, NANI KUHUJUMU HAKI...NCHI YOYOTE YA HAKI INA WAFUNGWA UNAJUA KWA NINI ? KWA SABABU KAZI YA HAKI NI KUONDOA AMANI KWA WATU WAOVU NA KULETA AMANI KWA WATU WEMA...NDIYO MAANA HATA DINI ZINASEMA MUNGU ATAHUKUMU KWA HAKI ILA TUNAONA WENGINE WANAHUKUMIWA JEHANAM NA WENGINE PEPONI
 
Asante kwa kuelimisha. Nakubaliana kuwa haki ina pande mbili: kulinda wema na kukemea uovu.

Lakini lengo la mwisho la haki sio kuondoa amani, bali ni kurejesha usawa ili amani ya kudumu ipatikane kwa wote. Amani bila haki ni ukimya wa kulazimisha, na haki bila amani inakuwa kisasi.

Tukipigania haki, tuipiganie kwa njia ya sheria na hoja, sio kwa chuki za kibinafsi. Ndipo Tanzania itapata amani na haki pamoja."

Tumekuelewa. Haki ni upanga wenye makali mawili. Ila kama lengo letu ni Tanzania, basi tuitumie haki kujenga, sio kubomoa."
TUMIA AKILI ...FAFANUZI NILIYO TOA NDIYO YA KWANZA NA YA MWISHO, KUPUNGUZA AU KUONGEZA CHOCHOTE KWENYE HIYO FAFANUZI NI UANITHI WA AKILI.... NANI KUHUJUMU HAKI...NCHI YOYOTE YA HAKI INA WAFUNGWA UNAJUA KWA NINI ? KWA SABABU KAZI YA HAKI NI KUONDOA AMANI KWA WATU WAOVU NA KULETA AMANI KWA WATU WEMA...NDIYO MAANA HATA DINI ZINASEMA MUNGU ATAHUKUMU KWA HAKI ILA TUNAONA WENGINE WANAHUKUMIWA JEHANAM NA WENGINE PEPONI
 
Mara nyingi ukiona watu wawili wanagombana basi ujue kuna mmoja anadai haki yake.
Pia kumtizama mleta hoja utabaini uhuni na hila kama walivyo wenzake wengi huko CCM. Kwanini watenganishe amani na haki?. Co -existance ya amani na haki inawezekana.
 
TUMIA AKILI ...FAFANUZI NILIYO TOA NDIYO YA KWANZA NA YAMWISHO KUPUNGUZA AU KUONGEZA CHOCHOTE KWENYE HIYO FAFANUZI NI UANITHI WA AKILI NANI KUHUJUMU HAKI...NCHI YOYOTE YA HAKI INA WAFUNGWA UNAJUA KWA NINI ? KWA SABABU KAZI YA HAKI NI KUONDOA AMANI KWA WATU WAOVU NA KULETA AMANI KWA WATU WEMA...NSIYO MAANA HATA DINI ZINASEMA MUNGU ATAHUKUMU KWA HAKI ILA TUNAONA WENGINE WANAHUKUMIWA JEHANAM NA WENGINE PEPONI
Tatizo ni kuwa tunapokuwa na chuki mioyoni, hata tukipewa mada ya msingi hatuwezi kutoa pointi zenye tija. Tunajibu kwa hasira badala ya hoja.

Amani na Haki zinahitajika zote mbili. Haki isiyofuata sheria inaleta kisasi. Amani isiyo na haki inaleta ukandamizaji.
 
Nimekuelewa mkuu

Wachache kati yetu wanaweza kukuelewa ila wale wenye akili fupi kama maisha ya funza hawawezi kukuelewa kabisa mkuu
Hawa wapuuzi ni kama kondom tu, wapuuzwe.
Mange Kimambi anawageuza kama chapati huku wakisahau kuwa Mange ni Mmarekani mwenye hasira ya kukosa ubunge kupitia CCM.
Waende USA au SA Afrika waone police walivyo wa moto kwa wahuni.
Duniani haki ipo kwa wapenda amani tu
 
Tatizo ni kuwa tunapokuwa na chuki mioyoni, hata tukipewa mada ya msingi hatuwezi kutoa pointi zenye tija. Tunajibu kwa hasira badala ya hoja.

Amani na Haki zinahitajika zote mbili. Haki isiyofuata sheria inaleta kisasi. Amani isiyo na haki inaleta ukandamizaji.
Nani kasema kuwa havi hitajiki ..wewe siyo timamu akilini ndiyo maana unashindwa kuelewa somo . Wewe unataja vitu vinavyo hitajika kuwa ni viwili mimi nimekuja kuonyesha na cha 3, kuwa siyo viwili tu ni vitatu ,,,sasa wewe unapinga nini ..popote palipo 1)HAKI kunakuwa na 2)Amani kwa wanaostairi amani 3)na kunakuwa hakuna Amani kwa wasio stairi amani.

Hivi ndivyo hata Dini zisemavyo na zipo sahihi kwa hili.hivyo mimi nimetoa elimu ya mambo muhimu ma 3 wewe unapinga na kusema ni mawili tena ukidai kana kwamba mimi nimeyakataa hayo mawili.🙄
 
Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.

MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?

Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".

Swali langu ni moja tu:
Kama ni kulazimika kuchagua kimoja, ni ipi inapaswa kuja kwanza? AMANI au HAKI?

Wewe unaonaje? Toa hoja yako kwa heshima.
Amani ni zao la haki. Hivyo haki inaanza, amani ndiyo inatawala.
 
Asante mkuu kwa uelewa wako
 
Amani ni zao la haki. Hivyo haki inaanza, amani ndiyo inatawala.
Lower IQ and nonsense...siyo kila amani ni zao la haki ipo amani ambayo ni zao la uovu pia.
Yaani ..msemo wa 👉AMANI NI ZAO LA HAKI UNA MAPUNGUFU KWA SABABU ...ULITAKIWA USEMWE KUWA AMANI KWA WATU WEMA NI ZAO LA HAKI KWA SABABU KUTOKUWA NA AMANI KWA WATU WAOVU PIA NI ZAO LA HAKI ..
Haki inapo kuwepo basi watu waovu upoteza AMANI ndiyo sababu siku zote watu waovu uipinga HAKI na haki inapokuwepo watu wema upata AMANI siyo watu waovu
 
Inaonekana bangi haikutaki. Kutoa maoni yangu kuna uhusiano gani na hiki ulichokiandika? Ni lazima mawazo yako yafanane na ya kwangu? Ukielezea kwa mtazamo wako utapungukiwa nini mpaka uanze kuniletea maneno ya kejeli?
 
Hili taifa la kizazi kama hiki mkuu kinaamini fujo ndo suluhu
 
Inaonekana bangi haikutaki. Kutoa maoni yangu kuna uhusiano gani na hiki ulichokiandika? Ni lazima mawazo yako yafanane na ya kwangu? Ukielezea kwa mtazamo wako utapungukiwa nini mpaka uanze kuniletea maneno ya kejeli?
Hii elimu niliyo toa siyo mawazo no elimu ...yaani unashindwa hata kujua tofauti ya mawazo au maoni na ELIMU...1+2 ni 3 hiyo ni elimu siyo maoni kuwa moja jumlisha 2 ni tatu
 
Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.

MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?

Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".

Swali langu ni moja tu:
Kama ni kulazimika kuchagua kimoja, ni ipi inapaswa kuja kwanza? AMANI au HAKI?

Wewe unaonaje? Toa hoja yako kwa heshima.
Sio Mada ya Kuku na Yai
 
Back
Top Bottom