Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.
MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?
Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".
Swali langu...
https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05
ANASEMA:
Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri
Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imetoa tamko zito kuhusu hali ya amani na utulivu nchini kufuatia matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Kupitia uchambuzi wa wasilisho la Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Mohamed...
Huyu ni Askofu Bagonza, Msomi wa PhD , anawauliza hao Wafuga Ndevu zinazopakwa Brichi, Wanaohusudu Ngono na kupitisha visheria Uchwara vya kuoa watoto wa miaka 10 , Watu wenye Elimu za Darasa la Saba , anawauliza, Kwa miaka 60 ambayo Tanzania imeitwa Kisiwa Cha Amani, je HAKI ILIKUJA??.
Kwa...
Ndugu Watanzania Hamjambo!
Nimeona watu wakilaumiana na kurushiana maneno.
1. Wengine wanalaumu Jeshi na vyombo vya Dola.
2. Wengine wanalaumu viongozi wa Dini
3. Wengine wanalaumu wasanii na watu mashuhuri
4. Wengine wanalaumu waandishi wa habari na media
5. Ndugu zangu, jukumu la...
Wakuu,
Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh
Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
Kumekuwa na nyimbo za kila siku. Makabwela tunaambiwa tutunze amani amani......
Linapokuja swala la kutendewa haki sisi makabwela hatukumbukwi. Tunahimizwa tu tutunze na kulinda amani.
Kilichotokea kwenye Machafuko ya sasa huko Nchini Irani kimetupa funza kali
Mkuu wa Nchi hiyo amekimbia...
Rangi za bendera yetu ya nchi yetu nzuri Tanzania ni Bluu, Njano, kijani na nyeusi. Rangi hizo hazipo hapo kwa bahati mbaya.
Hata pamoja na mapinduzi ya Zanzibar kufanyika, bado rangi nyekundu haikuingizwa ndani ya bendera yetu ya taifa.
Taifa hili limejengwa Katika misingi ya umoja, upendo...
Kwa hali tuliyomo kisiasa kama nchi suala la Haki na Umoja lazima lisemwe kwa pamoja.
Wananchi tumegundua kuna kundi la viongozi wa dini wapigania HAKI kama kipaumbele na kuna kundi lina pigia chapuo AMANI kwanza kwa kuipata kwa hali yoyote ile, kuna kundi la kati linazungumzia UTULIVU zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.