Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

Mzee wa kazi ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2023
Posts
799
Reaction score
2,343
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya

NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
 
Shukrani kamanda. Nikiwa singida mjini napanda gari za uelekeo wa wapi na nauri ni kiasi gani mkuu mpaka kwenye hayo machimbo walipo wachina?.
Mambo mengine jiongeze kidogo mzee wa kazi. Sio kila kitu kuuliza. Ushatajiwa majina ya meneo, we jipange kisha nenda stendi na nauli yako utapata uelekeo.... Tumia akili 😊
 
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya

NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.

Mzee wa kazi ngumu kwasasa Tanga mjini.
Unataka uwafanyeje?
 
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya

NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Kwa Singida nenda mpaka Shelui, unashikia hapo, Kisha unachukua boda au gari, unaenda Mgongo machimboni. Au unashuka Misigiri, unachukua boda unamwambia akupeleke Kinambeu kama sijakosea, hapo napo Kuna wachina.
 
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya

NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Kwa Singida nenda mpaka Shelui, unashikia hapo, Kisha unachukua boda au gari, unaenda Mgongo machimboni. Au unashuka Misigiri, unachukua boda unamwambia akupeleke Kinambeu kama sijakosea, hapo napo Kuna wachina
 
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya

NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Mbeya nenda wilaya ya chunya ,
Makongorosi na mkwajuni yapo makampuni ya kumwaga ya wachina
 
Back
Top Bottom