Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Aisee hawa watu ni shida afu ukikatiza mitaa waliopo unawezaahirisha hata unakoenda... Juzi napita zangu naskia mtu anasema njoo nikupe mk... Kugeuka hivi kumbe anaongea na simu mweeh nikasema afadhali maana angekula makofi
Nimecheka sana
 
Shiverz niliwapiga mno 2008 to 2011.Kuna mmoja ana maisha mazuri now.
 
Endelea tu kujaa taratibu katika ' frame ' ili ' nikikuwasha ' usiwe na cha kulaumu na yawezekana pia Wewe ni ' Mgeni ' Kwangu.
Hujaacha vitisho tu mzee? Umesahau wale watutsi waliokamatwa dodoma wakati bunge linaendelea?
 
Mbona hata ' Mamaako ' nae alikuwepo Mkuu au leo umesahau?
Ha ha ha umefika mbali, uliza wanunuzi wa changu, wanapenda sana watoto wa kigali maana wamejaaliwa. Hujawahi kisikia wakiomba tuwe na udugu usio na mipaka ili watzania waje Rwanda for free?
 
Ha ha ha umefika mbali, uliza wanunuzi wa changu, wanapenda sana watoto wa kigali maana wamejaaliwa. Hujawahi kisikia wakiomba tuwe na udugu usio na mipaka ili watzania waje Rwanda for free?

Bado tu unahitaji ' dozi ' mujarab nyingine?
 
Back
Top Bottom