Anhaa wewe ni wale watu wakimya sio๐
๐
, basi achana nao wafurahi, Mimi pia ni miongoni mwa watu ambao nimeshakuwa na story nyingi sana na shemeji yangu hadi kuna kipindi nikawa nahisi kabisa bro wangu alianza kunitilia mashaka coz kuna siku zingine alikua anakuja kwa kutushtukiza ili aone nini kinaendelea๐๐๐.
Kwahiyo hayo mambo yapo mkuu, cha muhimu hakikisha wanazingatia mipaka yao tu(hasa mkeo).