Mabro na swali

Washenzi hao.

Inawezekana dogo hana hatia, ila mke ndio ana shida, na ushaoa.

Kwahiyo hebu ongea na mke wako.
Mwambie huoni kama ni sawa yeye kushinda na kucheka na Mdogo wako.
Naogopa kuongea nae anakuwa mkali
 
Mim ni mvivu kuongea ilo tu
 
Naogopa kuongea nae anakuwa mkali
Bro.
Shida naona sio wao.
Ni wewe.

Ww ndio mwanaume. Mke ana miaka 26, dogo 20.
Wote unawalisha, alaf unaogopa kuongea kama mwanaume kuwa hiki sipendi?

Bro!, you are not serious! Au na ww una miaka 24?.

Pia hata kama ni mdogo, Men up bro.

Hii ni moja ya misimamo mwanaume anatakiwa kusimama nayo!
 
Siogopi ila kuongea sipendi kabisa nikiongea hasira zinapanda huwa namuambiaga dada yake ana msema mambo yana kaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…