Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Yaan una kuta kijana wakiume ana piga picha ana funua shati ana onyesha boxer for which reason au kavaa kata k kiasi kwamba akiinama makalio yapo njeee nashindwa kuelewa kabisa na unapo jaribu kumuelimisha kwa namna fulani una onekana mshamba
Af pia tabia ya kukatika yaani hii ndio sijawai elewa kabisa yaan wana shindana kukatika mbaya zaidi sasaiv wazazi mna waaachia watoto simu na simu ina onyesha kila kitu anapo ona watu wana fanya ivyo ana chukulia kawaida
Mfundishe mtoto wako wakike au wakiume ajue thaman yake katika jamii na zaidi ajue miiko yake kulingana na jinsia yake nini ana paswa kufanya na nini hapaswi kufanya mfundishe akiwa mdogo
Ni hayo tu