Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,653
- 66,580
- Thread starter
- #81
Sasa naongea nae nini akinipa umbea naitikia tu weee kumbe labda ishu za kwao kiufupi nina majibunya shortHapo sasa ndio kuna shida mkuu😅😅... Jitahidi huo mstari wa mpaka kwanza uusogeze juu kidogo ili uache nafasi kubwa ya uhuru(kucheza) hapo katikati.