Mabro na swali

Mabro na swali

Et wanamuita nguzo...
Just imagine ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
1000097725.jpg
 
Mimi hakuna mwanaume wowote humu duniani namuamini kumuacha na Mke wangu au mtoto wangu(awe wa kike au kiume),

Ata Awe baba mzazi , (kaka au mdogo wangu wa tumbo moja).

NB: turudi kwa mada.
Kwahiyo huyo dogo bado anasoma na anamazoea na shemej yake.
Ina maana wote wanaweza kuwa wanalingana umri?, au wana interest sawa?.

Kama sio, basi mwanamke ana matatizo.

Kama ndio. Ni agemate, bro, kazi unayo.

Tumia busara sana.
Ntakuambia
 
mtoto wa kiume, unaonekana mida ya misos, au unapotea siku nzima huonekani home, kamata viatu nenda uwanjani kapashe misuli,, ukirudi unanuka jasho kuanzia mwili nguo hadi viatu vinatoa harufu ๐Ÿ˜†,, ukishakula huna mda na tamthilia. ushakula matizi ukijiegesha tu usingizi huo na mkoromo wa hatar
 
Back
Top Bottom