Mabomu ya machozi Arusha

Huyo aliyeua mwenzake na kuachiwa na polisi ni nani?
Swala la kuachiwa sina uhakika halo ila Hugo jamaa namfahamu sana ni fundi magari Anita remeni Nikita naishi arusha alikuwa fundi wangu, anaendesha Toyota balloon hats IMO silahaa nasikia amemilikishwa juzijuzi tu,.ni
 
Pole sana Kamanda Mungi! Ntakuseach hewani baadae kidogo!

Upo sahihi kamanda, muda huu ndiyo tunatoka kwenye mazishi ya yule jamaa ailyeuawa, na watu walikuwa wengi sana, na kilichowafanya watu wawe wengi kwenye ule msiba ule siyo umaarufu wa marehemu, bali kuachiwa huru kwa muuaji na mabomu ya polisi.
 
Tuwe makini tunapowachagualia wanetu majina! Mzazi au mlezi anayempatia mwanaye majina yafananayo na zoba, anamlaani mtoto toka uchanga wake! Athari zake tunaziona humu jamvini.
 
Tuwe makini tunapowachagualia wanetu majina! Mzazi au mlezi anayempatia mwanaye majina yafananayo na zoba, anamlaani mtoto toka uchanga wake! Athari zake tunaziona humu jamvini.


Umeonaeeeee! Kama jina hili (z. o. m.b .a) hasara tupu kbs!
 
Hakika kwa sirikali hii ya magamba hakuna kinachoshangaza tena....kama ameachiwa ni hatua moja,raia wakikomaa kesho nendeni mahakamani mkajionee kituko kingine,ATALETWA NA V8 huku amefichwa sura.
 
Nimefanya hivyo kwa niaba yako Kiongozi
Nampa hongera sana mleta mada maana amejaribu kuunganisha tukio la juzi na la leo ili kumpa msomaji picha kamili...huu ndio uandishi uliotukuka!
Bahati mbaya niko kwenye simu ningekuongezea Reputation mkuu wangu.
Achana na zomba ambaye hata akiona picha anauliza..."imepigwa na nani?"
 
Back
Top Bottom