Mabomu ya machozi Arusha

Imenisikitisha saana mtu kutumia silaha iliyokuwa meant kwa self defence kumwuua mwendesha pikipiki ambaye hana silaha. Nashukuru kuwa nyumba ya muuaji imechomwa na kuteketezwa na hatua inayofuata ni wananchi kumwamishia mbuga za serengeti, Manyara au Ngorongoro akaishi na wanyama wenzake kwani hastahili kabisa kuishi na wanadamu
 
inasemekana jamaa hakua na lengo la kuua, ni uzenbe wa vijana wengi sasa hivi kumiliki silaha pasipo kuwa na tahadhari.kitu kilikua chemba jamaa kutoa tu bastola kumwambia ntyakushuti,,ile anamalizia kauli kitu kikapenya kwenye moyo wa marehemu.alipiga kwenye moyo direct hakupiga bega wala tumbo.
 
hakuna cha kushangaza hapo?? Mtoto umleavyo ndio akuavyo na mwana hukua kwa kufuata malezi ya mama, kama serikali yetu ndio style yao raia nao naona wameanza kuiga. Ikiwa polisi wanadungua watu ovyo kama ndege ,ndio mana na raia nao wanaiga.
 
inasemekana jamaa hakua na lengo la kuua, ni uzenbe wa vijana wengi sasa hivi kumiliki silaha pasipo kuwa na tahadhari.kitu kilikua chemba jamaa kutoa tu bastola kumwambia ntyakushuti,,ile anamalizia kauli kitu kikapenya kwenye moyo wa marehemu.alipiga kwenye moyo direct hakupiga bega wala tumbo.

Hata kama ni hivyo kwa nini aachiwe huru???? Halafu zipo tahadhari za mtu kutishia, moja ni kuhakikiha silaha haijakokiwa na kuepuka kugusa trigger ili kuongeza usalama hata kama usalama wa silaha utakuwa mdogo.

Huo ni uzembe ulipindukia. Sheria ichukue mkondo wake.
 
Imenisikitisha saana mtu kutumia silaha iliyokuwa meant kwa self defence kumwuua mwendesha pikipiki ambaye hana silaha. Nashukuru kuwa nyumba ya muuaji imechomwa na kuteketezwa na hatua inayofuata ni wananchi kumwamishia mbuga za serengeti, Manyara au Ngorongoro akaishi na wanyama wenzake kwani hastahili kabisa kuishi na wanadamu

Wangemuua mwanae kabisa, nyumba anaweza kuwa na hela za kifisadi akajenga upya na asione machungu.
 
Ni maeneo ya Kwangulelo baada ya jamaa mmoja mwenye gari alipomuua dereva wa pikipiki baada ya kupita gari lake ghafla. (pikipiki ilichomekea gari)
Mwendesha bodaboda alisimama pembeni ya barabara na kupiga magoti kuomba msamaha kuwa alikuwa anajiokoa kugongwa na gari ligine ila jamaa mwenye gari alichomoa bastola na kumuua hapohapa. Hayo yalijiri juzi
saa 3 usiku na leo ndio mazishi. Cha ajabu yule dereva pamoja na kuwekwa kituo cha polisi, aliachiwa as if aliua kuku tu. Leo wakati wanajiandaa kwa mazishi yule aliyeua kaonekana akiendesha gari lake na ndipo wananchi na madereva wa bodaboda wakaenda nyumbani kwa yule muuaji na kuchoma nyumba yake na kuharibu kila kitu. Baada ya hayo kujiri wakawa wanaelekea nyumbani kwa wafiwa na kumbe taarifa zimeshafika polisi ndipo wakaja kujaribu kutawanya watu... Wananchi wamekataa wanahoji kisa cha mtu kuua na kuachiwa usiku huohuo. Wakafunga barabara kuu ya Moshi-Arusha. Polisi walipoanza kupiga mabomu ya machozi ndipo wananchi wakabeba mawe na kuiweka gari ya polisi kati kabla hawajaanza kupambana na polisi magari mengine ya FFU yaliyokuwa mahakamani kwenye kesi ya Lema yakaenda kutoa sapoti na ndio kisa cha MABOMU. Magari sasa yanatumia barabara ya Kwangulelo-Kijenge.

RIP dereva wa bodaboda kwa kuuawa kwa uzembe wa makosa ya barabarani..
 
Bahati nzuri ndugu wa marehemu walikubali kumzika marehemu jana na hakika alizikwa na umati wa watu ambao haujawahi kuonwa kwa siku za karibuni. R.IP.
 
Back
Top Bottom