LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Yani Mkuu utu wa kibinadamu umetoweka kabisa mioyo mwa wanadamu baadhi. Mtu kakupigia mpk magoti na bado unamshut tu! Yani hili halikubaliki hata kidogo hata mbele ya Mwenye Enzi!
Halafu unawakuta member wengine wanatapika hovyo utafikiri haya yaliyotendwa na huyu muuaji ni mazuri!
Halafu unawakuta member wengine wanatapika hovyo utafikiri haya yaliyotendwa na huyu muuaji ni mazuri!
yaani nyan'gau huyu anaona gari lake bora kuliko uhai wa mtu, he he he he he yaani ningempata huyu namfunga makamba halafu namkata kiungo kimoja baada ya kingine halafu nambandika kwenye sufuria halafu naenda kutupia simba au kunguru shenzi kabisa pumbavu. Namlaani kwa maneno yote magumu huku dunia, kila balaa na mkosi vimuandame, kha mtu unakosa utu namna hii hata hao polisi waliomtoa na wenyewe walaaniwe tena kama wamepokea kitu kidogo adhabu yao iwe sawa na ya muuaji