Mabom! Mabom! Mabom!

mafataki ndo yanarindima, mambo ya diwali. navy ni salama angalau kwa sasa.
 
Hizi sikukuu zingine ambazo hazina hodi zitasababisha maafa, ukizingatia wabongo wameshang'atwa na nyoka, wakiona nyasi tu wanashtuka! Kwahiyo hata kama na mimi nina dhehebu ambalo sikukuu yake ni kutembea uchi nitaruhusiwa?
 
Kuna haja ya kuwa serious kidogo na kuacha kupost upuuzi upuuzi kama huu. ni upuuzi mrindimo wa fataki kuita bomu. kama ulikuwa na lengo la jokes ungepost kwenye jukwaa lake
 
Hata bila kuwa na dini hiyo, wewe tembea tu uchi, mbona wengi tu wanatembea uchi, hujawaona?
 
Nayasikia kwa mbali na miala ya mwanga kwa mbali naiona.
 
Taarifa nilizopata toka kwa jamaa zangu wa karibu maeneo ya uwanja wa Taifa kuna milipuko ya mabomu kwenye kambi za jeshi huko Temeke... More news to follow....
 
Kova anaongea Wapo FM anasema na amethibitisha ni wahindi wana sherehe za Diwali
 
Duh! Jamaa alivyojitetea..utafikiri alikuwa ananyongwa, anyway, ukweli tumeshaupata
 
Pia leo kuna sherehe ya wahindi inaitwa Diwali nayo huhusisha fataki,isije kuwa rafiki yako kasikia fataki za wahindi wale wanaoishi Chang'ombe.
 
Jamani yale mabomu kulipuka kwenye kambi za jeshi inaendelea, na sasa ni zamu ya Nevy Kigamboni!
Ni sikukuu madhehebu flani ya kihindi ndo wanaingaia mwaka mpya wao kwa mujibu wa kalenda ya imani yao, Izo ni fataki punguza uoga na matangazo yametolewa Tz nzima wananchi wasishtuke wenzetu wanasherekea mwaka mpya, wewe na wenzako mliwasumbua na fataki zenu tarehe 1 january. Uwe na tabia ya kusoma matangazo kwenye mabango mbalimbali uwe upadated.
 
Hizi sikukuu zingine ambazo hazina hodi zitasababisha maafa, ukizingatia wabongo wameshang'atwa na nyoka, wakiona nyasi tu wanashtuka! Kwahiyo hata kama na mimi nina dhehebu ambalo sikukuu yake ni kutembea uchi nitaruhusiwa?

The other time unapaswa kuwa makini na usikurupuke,angalau chukua muda kidogo kujiridhisha na habari kabla hujapost.sasa what made u conclude kwamba ni mabomu na ni kutoka Kigamboni Navy? Habari zingine ni sensitive Mkuu! acha hiyo
 
Yap leo ni DIwali sasa siju ndo inausiana na wale wahindi wanaoishi maeneo ya pale shule ya kiislam pale ngoja tusubiri info.
 
DIWALI HIYO WADAU, kuna jamaa yangu kapata meseji kutoka Zantel wana mu wish Diwali njema

Kwani DIWALI ndio inakuwa kama "April fools day??" (siku ya wajinga duniani ) wanashindwa kuwapa wananchi taarifa mapema kuwa watalipua mafataki kiasi kwamba inapelekea mtafaruku na usumbufu usio sababu kwa raia?? Mtu ambae alikuwa Mbagala siku ya matukio ya mabomu si anaweza kuzirai akisikia hiyo milipuko inalindima tena??.
 
Kuna haja ya kuwa serious kidogo na kuacha kupost upuuzi upuuzi kama huu. ni upuuzi mrindimo wa fataki kuita bomu. kama ulikuwa na lengo la jokes ungepost kwenye jukwaa lake

mkuu yanatisha hata mimi nilitaka kuanzisha thread nikiamini ni mabomu lakini niliyashitukia kabla sija post..yaana mlio zaidi ya yale ya mbagala
 
Siwaelewi kabisaaaaaaaaaaaaaaa, tuliambiwa hakuna tena kutokea kadhia hiyo
 
Back
Top Bottom