Gaidi awarushia mabomu ya petrol huko Boulder, Colorado-Marekani

Gaidi awarushia mabomu ya petrol huko Boulder, Colorado-Marekani

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,326
Reaction score
7,788
Mshukiwa ambaye aliwashambulia wafuasi kadhaa wanaoiunga mkono Israel katika hafla moja leo huko Boulder, Colorado, kwa kutumia Mabom ya Petrol, sasa ametambuliwa na vyombo vya sheria kama Mohammad Suleiman.

Watu kadhaa walijeruhiwa katika shambulio hilo na kupelekwa katika hospitali za karibu, akiwemo Suleiman mwenyewe.

Polisi wa Boulder wanasema kuwa bado hawajaainisha tukio hilo kama shambulio la kigaidi, kwani nia ya Suleiman bado inachunguzwa na mamlaka za mitaa na FBI.

Taarifa ya Balozi wa Israel katika Umoja wa Mataifa, Danny Danon, akijibu shambulio la Colorado:

"Ugaidi dhidi ya Wayahudi hauishii kwenye mpaka wa Gaza - tayari unawaka mitaa ya Amerika kwa moto. Huko Boulder, Colorado, Wayahudi waliandamana na matakwa rahisi ya maadili: kuwarudisha mateka nyumbani - na kwa kujibu, walishambuliwa kikatili.

Mshambuliaji aliwarushia Mabomu ya Petrol. Usifanye makosa - hii sio wakati wa kupinga ugaidi. vichochezi, popote walipo."
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    13 MB
  • telegram_video.mp4
    3.7 MB
  • telegram_video.mp4
    8.7 MB
Ndugu ukitaka Aman ya kweli moyoni na machoni mwako akikisha Aman ya jilan yako kinyume chake utaishi kwa mashaka Dunia utaiyona chungu popote ulipo apa Duniani !!!!

uwovu wako utakusumbua moyo wako utakupeleka mbio ukiwaza uwovu wako ata gari ikipata pancha kelele zake tu zinaweza kukuuwa kwa Presha !!!

Aman ndio kimbilio la mtu yoyote mwenye Akili ingekuwa ni kweli Waisrael awa ndio Og basi matendo yao yangetuonesha naamin wangeweza kuishi na Wapalestina kwa Akili kusingekuwa na Vifo visasi kama ivi tuvionavyo !!!

utosheke kukujuza awa sio Waisrael OG ni Wazungu kutoka Ulaya ndiomana Tabia zao azina tofaut yoyote na Wazungu wa Ulaya !!!

mfano USODOMA umetapakaa Ulaya adi Israel akuna Sheria yoyote apo Israel ya kuupinga badala yake zipo Sheria za kusapoti Usodoma kama ilivo Ulaya niayo tu kwa leo.
 
Kuna sehemu nilisema hakuna watu wabaya duniani kama waarabu huyo aliyefanya shambulio hilo ni mwarabu mhamiaji kutoka Misri!!

Alienda huko akilalamika kuwa nchini kwake hakuna Amani wazungu wakampa hifadhi sasa hivi kavimba kichwa kaonyesha wazi Ugaidi wake kwa kuwashambulia wenyeji kwa bomu la Petrol nafikiri wazungu walifanya makosa makubwa sana kuwapokea waarabu katika nchi zao za Ulaya na marekani hata hivyo sasa hivi wanayo kazi moja tu kuwarudisha waarabu wote makwao walikotoka maana imeshakuwa sasa Janga la ki Taifa.

Umeongelea kuhusu USODOMA Mbona hata wewe unaufanya nani alikuzuia?
 
Sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislamu.

That's the principle guiding terrorism worldwide.
Angalia hapa chini kuna vikundi vya kigaidi zaidi ya 20 vyote ni vya kiislamu hii inafikilisha sana!!! Na vinafanya kazi chini ya mwamvuli wa Allah Akbar!!!

Sasa hivi natafuta vikundi vya kigaidi vya kikristo nashangaa mpaka sasa sijavipata!!!!
 
Attachments

  • IMG_1312.jpeg
    IMG_1312.jpeg
    97.8 KB · Views: 16
Nasikitika shambulio halijaua wote next time na liue kila mnyama anayejiita muhayudi but sio mbaya
 
Kwaiyo tukio la Boom Oklahoma wakafa wa Marekani 83 pia ni Waislam?? au Waraabu?? Ulokole mzigo mkubwa sana TZ!!

Uyu mwamba anaitwa Alfred P. Murray ni Mwanajeshi wa Jesh la Marekani kauwa 83 Kwa Boom

chuki zako juu ya UISLAM azitowai kukusaidia ndugu.. Echolimai unajivua nguo tu !!
AP19220704645847.jpg
 
4c92254397629b2kyx7_800C450.jpg

Na uyo mzee kakauwa ako katoto kwa Kisu kakachoma mara 18 Kitoto ki Marekani chenye asili ya Palestina !!

uko uko Marekani

JE tukio ilo sio Ugaidi ?? !

Je uyo Mzee ni Mwarabu jibu ni apana ?

JE muislam jibu ni apana ?

Echolimai punguza chuki dhidi ya Waislam kwenye Nafsi yako umefuga jini ukizani ni Mungu!!!
 
Nasikitika shambulio halijaua wote next time na liue kila mnyama anayejiita muhayudi but sio mbaya
Endelea tu kusikitika kwa Gaidi kushindwa kuua watu!!! Hapa hapo usisite kufurahia magaidi wanavyofyekelewa mbali huko Gaza na makazi yao kugeuzwa kuwa vifusi mpaka hapo watakapo walejesha mateka waliowateka Oct 07,2023

Kwenye video ya pili nimeona Mbwa na mbwa wenzao wanatimua mbio kujiponya nafsi zao!!! Abu Mazen hajakosea kuwaida magaidi hao Mbwa!!!
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2025-06-01 at 00.00.58.mp4
    7.3 MB
  • telegram_video.mp4
    8 MB
Kwaiyo tukio la Boom Oklahoma wakafa wa Marekani 83 pia ni Waislam?? au Waraabu?? Ulokole mzigo mkubwa sana TZ!!

Uyu mwamba anaitwa Alfred P. Murray ni Mwanajeshi wa Jesh la Marekani kauwa 83 Kwa Boom

chuki zako juu ya UISLAM azitowai kukusaidia ndugu.. Echolimai unajivua nguo tu !!View attachment 3353417
Acha kubwabwaja jibu hoja yangu kuna vikundi zaidi ya 20 vyote vya kiislamu hiyo mimi imenifikirisha sana hata hivyo toka jana natafuta vikundi kama hivyo vya Kikristo cha kushangaza mpaka mchana huu bado sijavipata!!!
 
Nakukumbusha mm nimetumia dkk 3 tu kukumbusha !!

1) Mchungaji JOSEPH KIBWETERE apo Uganda Mwaka 2000 kauwa watu kigaidi kanisani Mia saba 700 yeye adi leo yupo hai kifungoni !!

2) Mchungaji PAUL Mackenzie uyu nae KAUWA WaKenya 191 Kanisani kwa njaa eneo la Kilifi nayeye adi sasa yupo kolokoloni !!

3) JOSEPH KONY na chama cheke cha THE LORD'S RESISTANCE ARMY uyu JOSEPH lengo lake Uganda itawaliwe kwa Amri kumi 10 za kwenye Bible yani za MUNGU uyo mwamba bado ajadhibiwa kauwa Waganda wengi sana wakiwemo Watoto wadogo na Ubakaji mkubwa sana awana Idadi !!!

4) Magaid wa Kikristo Anti Baraka wanaopatikana CONGO Brazaville Wameuwa Waislam Wengi sana pale CONGO BRAZAVILLE. !!!

ukija upande wa pili Makundi kama Boko alamu ISIS aya kuna Ushaidi wawazi kuwa ni ZAO la Marekani na Israel UISLAM unapakaziwa tu. Ili Kuwafitinisha na Walimwengu, picha chini ni mgambo wa Kikristo uko CONGO Anti Baraka
4bmyb057391a16s4g8_800C450.jpg
 
Jengo ilo lilipigwa na Boom apo Marekani Oklohoma na Afred P. Murray wakafa Wamarekan 83 uyo Mwamba sio Mwarabu sio Muislam Echolimai umeishiwa propaganda kazi yako itaota nyasi!!!!
 
Attachments

  • _111204996_rtra6xf.jpg
    _111204996_rtra6xf.jpg
    589.2 KB · Views: 14
Nakukumbusha mm nimetumia dkk 3 tu kukumbusha !!

1) Mchungaji JOSEPH KIBWETERE apo Uganda Mwaka 2000 kauwa watu kigaidi kanisani Mia saba 700 yeye adi leo yupo hai kifungoni !!

2) Mchungaji PAUL Mackenzie uyu nae KAUWA WaKenya 191 Kanisani kwa njaa eneo la Kilifi nayeye adi sasa yupo kolokoloni !!

3) JOSEPH KONY na chama cheke cha THE LORD'S RESISTANCE ARMY uyu JOSEPH lengo lake Uganda itawaliwe kwa Amri kumi 10 za kwenye Bible yani za MUNGU uyo mwamba bado ajadhibiwa kauwa Waganda wengi sana wakiwemo Watoto wadogo na Ubakaji mkubwa sana awana Idadi !!!

4) Magaid wa Kikristo Anti Baraka wanaopatikana CONGO Brazaville Wameuwa Waislam Wengi sana pale CONGO BRAZAVILLE. !!!

ukija upande wa pili Makundi kama Boko alamu ISIS aya kuna Ushaidi wawazi kuwa ni ZAO la Marekani na Israel UISLAM unapakaziwa tu. Ili Kuwafitinisha na Walimwengu, picha chini ni mgambo wa Kikristo uko CONGO Anti Baraka View attachment 3353619
Tumia akili yako vizuri Mimi nimesema kuna vikundi zaidi ya 20 vyote vya kiislamu hiyo mimi imenifikirisha sana hata hivyo toka jana nimetafuta vikundi kama hivyo vya Kikristo cha kushangaza mpaka jioni hii bado sijavipata!!!

Harafu wewe unanitajia mtu mmoja mmoja mimi ninaongelea vikundi siyo mtu kama mimi naweza vuta Bange zangu na kufanya vituko!!
 
Jina la huyo gaidi ? Ana asili ya wapi ?
Gaidi huyo anaitwa Mohammad Suleiman kutoka Misri lilipewa hifadhi marekani baada ya kushiba likaamua kunyea kambi. Acha afe mmoja wa Majeruhi nalo linyongwe mpaka life!!!!
 
Back
Top Bottom