THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,166
- 175
watu wamekimbia wameacha magari yao maeneo ya posta. Na kuna mzee mmoja kakimbia kutoka hoteli akiwa uchi kuelekea baharini. Hakuna usafiri kutoka maeneo ya posta, kariakoo n.k. Ni taharuki kubwa
Khaaa we ni noma pale kati ishu ya mzee. Teh teh teh