Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Njoo nichukue basiHuku kijijini kwetu Mbwinde. Huku corona haifiki...
Njoo nichukue basiHuku kijijini kwetu Mbwinde. Huku corona haifiki...
Njoo nichukue basi
Niko huku namtumboAya niambie nikukute wapi?..
Hehehehe si bure kwa lawama hizo bloo alishainuliwa inavyoonekanaSaivi wanaboa kama nini, TL yootee kuinuana tuu!
Hahahaah....Hehehehe si bure kwa lawama hizo bloo alishainuliwa inavyoonekana
Kwanini huwapend mabloo jamaniHahahaah....
Wamuinue tuu jamani
Siwapendi tuu jamaniKwanini huwapend mabloo jamani
Kwa hiyo unatuambia akina financial service,Diana Spencer ,sakayo ,surbi,miss natafuta unskilled sio mademu,Twitter Baki huko huko ulelewe sie tunataka kuleaMabloo wote wa jf
Huu ni uchunguz mdogo nilioufanya kule Twitter
1. Madem wanaotumia Twitter wengi ni wenye elim ya kueleweka
2. Madem wazur wengi wapo Twitter
3. Madem wakishua wengi wako Twitter
4. Madem wajanja na walioruka ruka ng'ambo wako twitter
5. Madem wengi hawafanyi kazi serikalini wengi wao ni kwenye ngo's na taasis za kimataifa
6. Madem wa Twitter wanafuatilia sana ligi za ulaya na mpira kwa ujumla
7. Madem wa Twitter wachache sana ambao ni single mother
8. Madem wa Twitter sio wa kuwapeleka Lodge za 15000
9. Madem waliopo Twitter wengi wanafanya kazi za ofisin wameajiriwa sio zile za kuuza maduka au kuuza shughuli za ujasiriamali
10. Kama uwezo wako ni mdogo Twitter hutaiweza kuitumia
11. Kudate na mdada ambaye ni meneja tawi flani ofisi flan ni kawaida
12. Wanatumia iPhone na Samsung
Mabloo msikurupuke mkija Twitter
Save a brother
Uwe unanitumiaga screenshotsHawakurudisha
Mnainuana nini etiKumepoteza ladha ya TL kabisaa!! Kila tweet tuinuane, tuinuane!! Woooiii
Sina hata nianchoelewa nasikia mabloo, wapwa, wakulungwa sijui wajuba naona watu wananena kwa lugha yao
Yapi eti jamaniMakubwa haya
HahahaahMnainuana nini eti
Sina hata nianchoelewa nasikia mabloo, wapwa, wakulungwa sijui wajuba naona watu wananena kwa lugha yao











Ya mabloo kwakweli sina nilichoelewa na kumaliza post nzimaYapi eti jamani
Sawa dadaUwe unanitumiaga screenshots
Kwamba mnapeana auHahahaah
Follower eti jamani