Naomba Naomba niko chini ya miguu yako in Jesus Name usithubutu kabisa kufanya hivyo, hana skills zozote, hana the right color maana huko wamejaa wafilipino na watu wenye rangi nyeupe, wananyanyaswa kuliko mbwa, mtu yoyote asikudanganye kuwa eti anaenda kufanyakazi ya kupaka hina, anampaka nani? hiyo ni must akifika ananyang'anywa documents, ataishi kwa kuliwa mande na kinyume cha maumbile, hakuna cha ubalozi wala nani anayejishughulisha nao hao, ni jana tu nimesoma rais wa Phillipines akijadili swala hili hata serikali yake imelishindwa, angalia hata wavulana wanaoenda huko kujenga viwanja vya mpira wameshaonekana kunyanyaswa kuliko na FIFA imejaribu kuingilia hawataliweza pesa inatembea na utaratibu wao wa maisha, hata wanawake wao wenyewe wananyanyaswa, watanzania tuacheni ushamba, hicho ni kifo, huyu mwenzake sitashangaa kama kalipwa kuleta watu, mimi binafsi partner wangu msomi kabisa wa kimataifa alikutana nao hao watu na wakampa deal awapate wasichana wenye light colors soko kubwa sana wanaenda kufanya tofauti, humu ndani watanzania tusaidiane, hiyo tenda ya mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu tunaichekea kwa kuw watanzania tumejaa unafiki, tuna treat watoto wa wenzetu kama wapita njia mungu atatuhumuku jamani huyu binti afanye kazi ya kupaka hina hapa nyumbani zanzibar kwenye tourism kuna upakaji hina, form four failure atafanya nini huko lugha hajui, bila shaka hata dini yake ni wrong