nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Sasa wakusamehe kwa kosa gani?
ilo toto juu kulia lililo kunja nne muhimu kufungua fixed account ya kutibu pressure mbelekoHajakosea, "the North Western Zone"
Hao sasa
wewe ni mke au mmeAisee Rwanda kuna watoto waliokamilika watoto waliiva watoto wenye kila sifa kuanzia tabia asikwambie mtu.
Nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana tanga haioni ndani Rwanda dahhhhh naweza kuchange uraia.
Mtoa mada umekurupuka kweli leo, mbona mimi nina binti wa hapa hapa TZ na mzuri sana kwangu maana tumeshikamana kweli kweli, sura yake niliridhika nayo, tabia yake iko njema. Tena naamin hakuna mzuri kuliko huyu niliyenae wewe kurupuka uende kwa kagame uoe wapenda bata utajuta kuvuka border mkuu, hao wadada acha waolewe na warwanda wenzao tu wewe hujui hapa Tz tuna wadada wa kutosha tena wazuri kila aina, tembea kwanza.
Aisee Rwanda kuna watoto waliokamilika watoto waliiva watoto wenye kila sifa kuanzia tabia asikwambie mtu.
Nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana tanga haioni ndani Rwanda dahhhhh naweza kuchange uraia.
oa utmbewe....
We nae hata sie ni wazuri sema macho yako yana mategee
Kondoa tu...aende Arusha na Manyara..
Oa tu huko maanake hata siye tumechoshwa na vibamia vyenu,
Wewe hao wote hawawafiki wanyarwanda, hao wanajulikana afrika mashariki na kati kwa urembo.