Mabinti wa bongo mtanisamehe hapa

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
3,156
3,799
Aisee Rwanda kuna watoto waliokamilika watoto waliiva watoto wenye kila sifa kuanzia tabia asikwambie mtu.

Nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana tanga haioni ndani Rwanda dahhhhh naweza kuchange uraia.
 
Attachments

  • 1409070031736.jpg
    1409070031736.jpg
    135 KB · Views: 2,023
Aisee rwanda kuna watoto waliokamilika
watoto waliiva
watoto wenye kila sifa kuanzia tabia
asikwambie mtu nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana

tanga haioni ndani rwanda dahhhhh
naweza kuchange uraia

Rwanda sehemu gani mkuu.Yaan umefanya research nchi nzima kweli we kiboko.
 
Tatizo la vijana siku zote ni kupoteza akili za juu pale wanapowanza mambo ya dunia ya chini....

Hata ingekuwa Ethiopia, hakuna jamii yenye wanawake waliotofauti na wanawake wengine duniani...

Kama ipo naomba mnijuze....!!
 
Mimi binafsi nimekumisi.
msalimie bibi. Ni hayo tu.

Back
Top Bottom