Mabinti wa bongo mtanisamehe hapa

Mabinti wa bongo mtanisamehe hapa

Status
Not open for further replies.
Halafu hawana vitambi kama wa kibongo kila 3 wawili wana vitumbo nundu.
 
Kama kigezo chako ni sura sawa lakin Tanzania kuna mabinti wazuri pia labda kama hujakutana nao mkuu.
 
Mtoa mada umekurupuka kweli leo, mbona mimi nina binti wa hapa hapa TZ na mzuri sana kwangu maana tumeshikamana kweli kweli, sura yake niliridhika nayo, tabia yake iko njema. Tena naamin hakuna mzuri kuliko huyu niliyenae wewe kurupuka uende kwa kagame uoe wapenda bata utajuta kuvuka border mkuu, hao wadada acha waolewe na warwanda wenzao tu wewe hujui hapa Tz tuna wadada wa kutosha tena wazuri kila aina, tembea kwanza.
 
Wala Haina haja ya wewe kuhamia Rwanda, nenda Ngara,biharamulo na Karagwe utakutana nao wakutosha sana tu kwa huku bongo tunawaita wahangaza. Kazi ni kwako mkuu
 
Oa tu huko maanake hata siye tumechoshwa na vibamia vyenu,
Aisee rwanda kuna watoto waliokamilika
watoto waliiva
watoto wenye kila sifa kuanzia tabia
asikwambie mtu nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana

tanga haioni ndani rwanda dahhhhh
naweza kuchange uraia
 
Wahangaza wenye maumbo kama wacheza mieleka na wabeba vyuma ndo wanaosifiwa hapa!!!
Wala Haina haja ya wewe kuhamia Rwanda, nenda Ngara,biharamulo na Karagwe utakutana nao wakutosha sana tu kwa huku bongo tunawaita wahangaza. Kazi ni kwako mkuu
 
Aisee rwanda kuna watoto waliokamilika
watoto waliiva
watoto wenye kila sifa kuanzia tabia
asikwambie mtu nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana

tanga haioni ndani rwanda dahhhhh
naweza kuchange uraia

Tabia za wanawake ni zile zile dunia nzima. Ukioa mnyarwanda ujiandae kuzalishiwa na wanyarwanda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom