Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Kaoe tu maana haujakatazwa na mtu
Munkari jina la mtu.
Wewe kitambi cha mtu kinakuhusu nini?
Mnataka tufanye mambo to please em men,!
No thank you,
najisikia faraja na furaha kuwa na kitambi,niliyenae kama hakipende atafute wa size yake,
We nae hata sie ni wazuri sema macho yako yana mategee
kubali ukweli totoz za rwanda ni beautiful tz ladies r jjust sexy. watoto wa rwanda wen young sublime when old devine
We nae hata sie ni wazuri sema macho yako yana mategee
Tanzania ni kubwa kuzizidi Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kwa ujumla wake. Wewe TZ yote umeitembelea au ulipofika Tanga ukaona umemaliza? Nenda katembee Kondoa.
Halafu hawana vitambi kama wa kibongo kila 3 wawili wana vitumbo nundu.
Tatizo mnaringa..
Hata sie tunapendwa kama mnavyowapenda haoo wanyaru
mabeib wa tz mapepe sana
Hata sie tunapendwa kama mnavyowapenda haoo wanyaru
Sio wote