IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,830
- 7,374
Weka picha Mkuu wacha porojo
Hao sasa
mbona kama adobe ndo imewapendezesha..!
Aisee rwanda kuna watoto waliokamilika
watoto waliiva
watoto wenye kila sifa kuanzia tabia
asikwambie mtu nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana
tanga haioni ndani rwanda dahhhhh
naweza kuchange uraia
Aisee rwanda kuna watoto waliokamilika
watoto waliiva
watoto wenye kila sifa kuanzia tabia
asikwambie mtu nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana
tanga haioni ndani rwanda dahhhhh
naweza kuchange uraia
Live bila chenga iyo!!!
Tatizo la vijana siku zote ni kupoteza akili za juu pale wanapowanza mambo ya dunia ya chini....
Hata ingekuwa Ethiopia, hakuna jamii yenye wanawake waliotofauti na wanawake wengine duniani...
Kama ipo naomba mnijuze....!!