Mabinti wa 2000s nani kawaroga?

Mabinti wa 2000s nani kawaroga?

Mtoa mada umeandika takataka,wewe kitu gani kinakufanya uende kusumbuana na watoto wa elfu 2??
Hela zenyewe za mawazo..
Milio mimgi kila siku huku mtafikri mlilazimishwa kuwafata..
 
Yaani hata mbunye hujaomba tayari umeshaombwa hela. Utaambiwa gesi imeisha, luku hakuna, naumwa, leo sijala yaani sina hela, sina mb siwezi kuingia whatsaap. Sasa imagine ukiomba mbunye nini kinafuata?
Mimi akiomba hela maongezi ndio yameisha Serikali inatoa tozo nae anataka tozo kwani amekuwa serikali nae🤣🤣
 
Ila kuna walionyooka sijui nna bahati nao. Kuna watatu wamenyooka tangu tuyajenge sijawai kupigwa kizinga na sioni dalili hizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom