Kwa sasa hali ilivyo, kufahamiana na mdada, mkapeana namba za simu, hata katika mazingira official ni tatizo. Ukisalimiana naye, mkachat mawili matatu whatsaap, next move, mizinga. Kwanza anaweka chats za joke kidogo, ukirespond tuu, kwisha habari yako.
Yaani hata mbunye hujaomba tayari...