Mabinti wa 2000s nani kawaroga?

Mabinti wa 2000s nani kawaroga?

Sasa kama huyo binti anaweza kumwomba mzazi wake hela bila huruma wala aibu, unafikiri wewe ni nani haswaa mpaka ashindwe kukuomba. Na hapo anakuomba hela akiwa hana mpango wa kukupa hiyo mbunye. Kama unaona kuombwa 10k/= au 30k/= inakushushia heshima achana nao hao, jaribu hawa wenye miaka 30+ hawa hawaombi chini ya 50k/= , hawa nadhani mtawezana
 
Lakini ni kama mko 50/50
Hata nyie si huwa mnaomba mchezo mapema? Ama siku hizi mnasubiri subiri?
Kwani hao mabinti wa 2000 wanauza nini ili tununue na tupate risiti kabisa kuiongezea serikali mapato?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Minapenda afunguke kama ivyo ili nijue nimweke kwenye kundi gani la kupiga na kusepa hakuna kujenga kibanda anachotaka nampa after game kila mtu na njia zake
Sasa mfano kati ya kumi ukapata watano ambao hawaombi hela je utawaoa wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom