Kwa sasa hali ilivyo, kufahamiana na mdada, mkapeana namba za simu, hata katika mazingira official ni tatizo. Ukisalimiana naye, mkachat mawili matatu whatsaap, next move, mizinga. Kwanza anaweka chats za joke kidogo, ukirespond tuu, kwisha habari yako.
Yaani hata mbunye hujaomba tayari umeshaombwa hela. Utaambiwa gesi imeisha, luku hakuna, naumwa, leo sijala yaani sina hela, sina mb siwezi kuingia whatsaap. Sasa imagine ukiomba mbunye nini kinafuata?
Mimi formula yangu hakuna shilingi yangu itakayoenda bure aisee,maana ukichukua hela yoyote imeandikwa, 'Fedha halali kwa malipo ya shilingi ......".
Sasa nalipa hizo hela kwa shughuli gani halali? Kiubinadamu huwa nikielewa tatizo lako ni genuine naweza kukusaidia kilicho ndani ya uwezo wangu kama binadamu yeyote ila siyo kwamisingi ya kutafuta fadhila ya kulipwa mbunye baadaye.
Sasa ninyi mnahamishia kila kitu kwenye sex. Bora serikali ihalalishe hii biashara, alafu nyie wadada wekeni menu kabisa. Mfano:
Nasema hivi kwa sababu kwa sasa ukishawasiliana na mdada muda kidogo unaanza kuombwa hela, ili hali wewe hata bado hujaomba mbunye.
Nawasilisha. Mapovu ruksa

- Kuchat normal (mtuwekeee bei)
- Kuongea kwenye simu (bei)
- Kuchat whatsaap (bei)
- Kuchat romantic (bei)
- phone sex (bei)
- Kunyanduana (bei)
- ......
- .............