Mabinti siku hizi wanazaa zaa bila mpango

Mabinti siku hizi wanazaa zaa bila mpango

Hahah status za watsap za mademu waliozalishwa chuoni na kuachwa "strong and proudly to be a mother"hahah

Hahaaa
Sana tu ht wa maofisini ndo hivyohivyo!

Most of them wanajitakia bana!
 
Wanazaa zaaje kwa mfano!? Huwa wanajizalisha wenyewe au......?!
 
Duuuuuh, vipi maisha yenu after ndoa coz Kila mtu alikuwa na maslahi yake binafsi; mdada ndoa na wewe good life

Kwa sasa tupo vizuri
Mwanaume huwa hachagui kambi, ilimradi mke wangu sio Malaya basi nikalazimika kumpenda, nae kwa kuwa alitaka Ku settle down ndo hivyo tupo na watoto 3 pamoja na yule Wa kwake Wa single mom
 
Ukweli mtupu
Sijui huwa wanawaza nn,yaani sikuhizi kuzaa km fasheni
 
mimi nawapongeza wote hasa mabinti wadogo kwa kuutunza uhai, japo yaweza kua walipata mimba nje ya system (ndoa) lakini wameheshimu uhai kwa kutozitoa hizo mimba kama wafanyavyo wanawake wengi wa siku hizi.

Mungu awabariki sana kwa kitendo chao cha kuulinda na kuutunza uhai mpya.
 
Kwahiyo unataja siri za mke wako hapa au?

Natumia mfano wangu kuwafundisha wengine
Sasa hivi mwenyewe yupo proud kwa wenzio hata tukienda kwa harusi, send off etc mwanamama yupo kifua mbele kunitambulisha kwa wenzie "" mista wangu huyu"" wakati mwanzo alijifanya single mom
My point is hakuna mwanamke mwenye kupenda hali hiyo ya single mom isipokua mahesabu yamekataa tu

Tuzingatie maadili kila mmoja apate mtoto ndani ya ndoa

Mwanamke mwenye kujitambua utamkojolea hadi utachoka lakini hapati mimba kumbe kajipiga kitanzi mkononi uzazi Wa mpango
 
Sasa kama wanachagua wenyewe kuwa single moms iweje baadae binti anaanza kukusumbua ww uliempa mimba mtoto akishazaliwa, anakukaba kama luba umuoe, si ajabu akahamia kwa nguvu kwako, wakati mwanzo alijifanya anataka kuwa single mom

Na single moms wengi wakishahudhulia harusi kadhaa za wenzio ofisini roho inaanza kumuuma kwa nn alizalia home ndo hapo sasa ananunua mwanaume Wa kufunga nae ndoa

Mfano hai ni mm, mke wangu alijiona ana elimu na ana kazi nzuri hivyo hahitaji mume akaamua kuzaa awe single mom, kumbe ndo amejifungia milango
Alishangaa kuona kila wiki anahudhuria harusi za wenzie waliojitunza, huku umri ukizidi kumtupa mkono hadi alipokutana na mm nikiwa hoi kimaisha lakini hakujali akasema nachotaka mm ni ndoa, ww usijali mi ntalipa gharama zote za sherehe hadi mahari ntakupa upeleke kwetu

Nilishangaa sana ndo watu wakaniambia huyo alijifanya single mom msaidie tu
Ndo nikamuoa kwa kuniwezesha kimaisha kama sharti langu..
.so hakuna kitu kama single mom ni ile hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi

Ukweli mchungu!

Wanajitakia wenyewe,mwisho wa siku wanaachwa,tumeyashuhudia tukiwa vyuoni huku wadada wengi wanajitakia,wasipoolewa wanalalamika!!!

Haaaa wewe noma!
Mnaendeleaje na mkeo?
 
Kwahiyo unavyokuwa unamfanya wewe dume unakuwa unawaza nini?? nyie wanaume mnachekesha sana kwakweli, eti lazima ajipange, na wewe je ujipangue?? au unafikiri yule mtoto akizaliwa atabadilika na asiwe wa kwako. Kila mmoja ajitathimini kwa upande wake!!!! - kama akizaa na ukamkataa, usidhani utabadili ukweli!!!! umeniudhi kwa kauli ya kitoto.


Maamuzi ya kubeba au kutobeba mimba anayo mwanamke na mwanamke tu.
 
aliyekudanganya binti anashika mimba hovyo ni nani? siku iz tunapanga tu kiroho safi kuwa single moms. No stress.
Alaf unawalaumu wanawake sababu wao ndo wanabeba matumbo, vipi kuhusu hao waliowasababishia? mnakua mmekula mchele gani? au mmelogwa?
Kwani wanabebeshwa kwa lazima? Wote wana makosa sawa ila mwisho wa siku mwenye uamuzi wa mwisho wa kubeba mimba ni mwanamke.
 
Jamii haina mafundisho tena na shetani ndo amekazana kwelikweli.Kuolewa pia hawawezi kwasababu hawana wito ...ndoa ni wito mkuu
 
Back
Top Bottom