Mabinti siku hizi wanazaa zaa bila mpango

Sasa kama wanachagua wenyewe kuwa single moms iweje baadae binti anaanza kukusumbua ww uliempa mimba mtoto akishazaliwa, anakukaba kama luba umuoe, si ajabu akahamia kwa nguvu kwako, wakati mwanzo alijifanya anataka kuwa single mom

Na single moms wengi wakishahudhulia harusi kadhaa za wenzio ofisini roho inaanza kumuuma kwa nn alizalia home ndo hapo sasa ananunua mwanaume Wa kufunga nae ndoa

Mfano hai ni mm, mke wangu alijiona ana elimu na ana kazi nzuri hivyo hahitaji mume akaamua kuzaa awe single mom, kumbe ndo amejifungia milango
Alishangaa kuona kila wiki anahudhuria harusi za wenzie waliojitunza, huku umri ukizidi kumtupa mkono hadi alipokutana na mm nikiwa hoi kimaisha lakini hakujali akasema nachotaka mm ni ndoa, ww usijali mi ntalipa gharama zote za sherehe hadi mahari ntakupa upeleke kwetu

Nilishangaa sana ndo watu wakaniambia huyo alijifanya single mom msaidie tu
Ndo nikamuoa kwa kuniwezesha kimaisha kama sharti langu..
.so hakuna kitu kama single mom ni ile hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi

Haaa haaaaaa haaaaaa.... Kajistory fulani hivi amaizing.
 
Pamoja na kwamba "watoto/wadada" wa siku hizi wanasema "ninachohitaji ni mtoto tu:, sidhani kama ni sawa/fair kwa mtoto kupata malezi ya mzazi mmoja tu, hii ni kujifikiria zaidi wao na si watoto pia.

Pia wapo wale wenye "kutega" wakidhani, wakiwa wajawazito kuna urahisi wa kuolewa! Si dunia ya leo hii! Watu wanakukimbia hata wakiwa wameshajitambulisha ukweni na ndoa imeshatangazwa kanisani/msikitini then wewe unaongelea "ujauzito tu"!

It is not a crime at all kuwa mjamzito uwalo chuoni, hasa ukiwa unajitegemea 'financial stability' kwa sasa, Sijui ni nini hasa, lakini wengi wa wanavyuo hawajajitegemea, wanaizhi kulingana na "boom", sasa wakiona jinsi fedha hiyo inakuja kila mwaka wanaweza kuhadaika na kudhani wako stable kuanza familia(ikumbukwe wengi hukutania huko na hawatambulishani kwa wazazi),sasa wakirudi mtaani ni kukimbiana.Mwisho wa siku ndiyo haya majonzi moyoni with smile on the face "single mom and proud".

I stand to be corrected, malezi ni zaidi ya fedha kwamba mama/baba mtoto ana uwezo wa kuji-support kimaisha,Bado mtoto anahitaji matunzo/malezi ya baba/mama.
 
Umeongea ukweli mtupu.
 
Molembe

ndoa kitu gani, mtu akitaka kuwa na mtoto kwani lazma asubiri ndoa.

Wewe si ndio unalalamika kunyanyaswa? Sasa kama wewe unalia unanyanyasika na Babako mdogo na babako mzazi ALIFARIKI ukiwa mdogo, maisha unayaona magumu, sasa iweje utake wengine wazaliwe bila uwepo wa baba yao karibu nao, unashabikia watoto nje ya ndoa na wewe unalia kunyanyasika kisa huna baba? Labda umefanya hili jukwaa la jokes.
 
Mfano hai ni mm, mke wangu alijiona ana elimu na ana kazi nzuri hivyo hahitaji mume akaamua kuzaa awe single mom, kumbe ndo amejifungia milango
Alishangaa kuona kila wiki anahudhuria harusi za wenzie waliojitunza, huku umri ukizidi kumtupa mkono

Hivi mmeshindwa kutunza usichana wenu mpaka mtakapofunga ndoa ndo mzae

hivi kujitunza/kutunza usichana maana yake kutokuzaa?

haohao waliofanya harusi kabla ya kuzaa ukute wamemeza dushe nyingi kuliko atakazomeza huyo single mother maisha yake yote.

hata mimi nasikitika kuona msichana akizaa akiwa chuo. ukweli ni kuwa watanzania wengi walio chuo bado ni tegemezi. mtu mwenyewe anayezaa naye haeleweki. ilimradi tu atimize hamu ya kuzaa mapema. very selfish. ndomana umaskini hauishi.
 
housegirl.
 
Last edited by a moderator:
Usilaumu upande mmoja kunahitajiwa kuwe mwanaume na mwanamke kupata mtoto.
 
Kuwa na mtoto ni jambo jema na lazima ujipange wewe upo chuo unasoma unabeba mimba huku ukijua huna uwezo wa kumhudumia huyo mtoto.

Kwahiyo unavyokuwa unamfanya wewe dume unakuwa unawaza nini?? nyie wanaume mnachekesha sana kwakweli, eti lazima ajipange, na wewe je ujipangue?? au unafikiri yule mtoto akizaliwa atabadilika na asiwe wa kwako. Kila mmoja ajitathimini kwa upande wake!!!! - kama akizaa na ukamkataa, usidhani utabadili ukweli!!!! umeniudhi kwa kauli ya kitoto.
 
Samahani "Single mom"
 
Nimekuudhi nini dada.
 
Wanaume sijui wamekula mahsrage ya wapi. Sijui wamelewa nini? Kwa nini wanagegeda ovyo ovyo halafu wanalalamika wadada wanazaa ovyo ovyo? Wewe uliyrleta kamba unao wadada wangapi unawagegeda? Acha unaa
 
kwani na sisi tunataka kuishi na nyie basii ni watoto tu ndo tunapenda
 
mabinti walikuwepo zamani siku hizi kuna vibinti.... havijielewi. . vinatamaa na kudanganyika hovyo... havina plan za maana for future ... lakini sifa zote hizo zipo na kwa aliyempa mimba.
 
Utatukana hadi wanao badala ya kuelimisha mkubwa, acha wafurahie we vipi
 
Back
Top Bottom