Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Samahani "Single mom"
Unadhani kila mtu single mother, pole
Samahani "Single mom"
Maamuzi ya mwisho ni ya mwanaume kama hutaki mtt hakikisha unatumia kinga wasichana huwa wanajua kujilengesha sana atakuambia siko siku za hatari kumbe anakutega kama unajua unapita msichana humpendi why usitumie kinga.Maamuzi ya mwisho kubeba mimba anayo mwanamke.
Maamuzi ya mwisho ni ya mwanaume kama hutaki mtt hakikisha unatumia kinga wasichana huwa wanajua kujilengesha sana atakuambia siko siku za hatari kumbe anakutega kama unajua unapita msichana humpendi why usitumie kinga.
Mi naona hao wanaobeba mimba na wanaume wao pia wanataka kutujazia hii dunia na matakataka. Kuna kijana hapa ofisini kwetu ni handsome kweli lakini wasichana wanajigongesha na huwa anamsimamo wake never ever to sleep with a woman without a cdm.
Anatuambia atakuja kuzaa na mwanamke aliyempenda tu na ambae atakuwa mkewe basi hao wengine anapita tu. So vijana wetu muwe na akili zaidi ya hao wasichana wenu ajue hutaki mtt tumia kinga usikubali stori za sijui siko siku za hatari
Sasa kama wanachagua wenyewe kuwa single moms iweje baadae binti anaanza kukusumbua ww uliempa mimba mtoto akishazaliwa, anakukaba kama luba umuoe, si ajabu akahamia kwa nguvu kwako, wakati mwanzo alijifanya anataka kuwa single mom
Na single moms wengi wakishahudhulia harusi kadhaa za wenzio ofisini roho inaanza kumuuma kwa nn alizalia home ndo hapo sasa ananunua mwanaume Wa kufunga nae ndoa
Mfano hai ni mm, mke wangu alijiona ana elimu na ana kazi nzuri hivyo hahitaji mume akaamua kuzaa awe single mom, kumbe ndo amejifungia milango
Alishangaa kuona kila wiki anahudhuria harusi za wenzie waliojitunza, huku umri ukizidi kumtupa mkono hadi alipokutana na mm nikiwa hoi kimaisha lakini hakujali akasema nachotaka mm ni ndoa, ww usijali mi ntalipa gharama zote za sherehe hadi mahari ntakupa upeleke kwetu
Nilishangaa sana ndo watu wakaniambia huyo alijifanya single mom msaidie tu
Ndo nikamuoa kwa kuniwezesha kimaisha kama sharti langu..
.so hakuna kitu kama single mom ni ile hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi
sisi tunataka watoto bhaaas

Ulichokiandika unakielewa??
Kuwa na mtoto ni jambo jema na lazima ujipange wewe upo chuo unasoma unabeba mimba huku ukijua huna uwezo wa kumhudumia huyo mtoto.
mabinti walikuwepo zamani siku hizi kuna vibinti.... havijielewi. . vinatamaa na kudanganyika hovyo... havina plan za maana for future ... lakini sifa zote hizo zipo na kwa aliyempa mimba.
Acha tu wabebe ila wajue hao walio wapa kama hawatawaoa basi hakuna atae waoa ...nashangazwa na wanaume wenzangu wanao oa binti mwenye mtoto daaaaaaaah i cant believe wanajitoa ufahamu au!?
uki wa na gari zuri tu ume wamaliza kweli wanawake wengne hawa jielewi elewi yani?
wazazi wa siku hizi wamekuwa wapole mno,enzi hizo ukipata mimba mdingi anakutoa nduki na panga
Kwa kweli siku hizi sijui nini kimewapata hawa mabinti wetu, wanazaa tu bila ndoa yaani siku hizi binti kumbebea mimba mpenzi/mchumba wanaona kawaida wengi wao wakiwa wanachuo.
Ukitembea mtaani unakutana na wasichana wana mimba kana kwamba wameolewa kumbe wako kwao ukienda vyuoni huko ndiko kuna balaa, mimba zimekuwa kama fasheni. Ni nani aliewaroga wale na sijui wamekula maharage ya wapi wale matokeo wanaishia kuachwa wale na kulea watoto wenyewe wakiwa na stress.
Hivi mmeshindwa kutunza usichana wenu mpaka mtakapofunga ndoa ndo mzae yaani unakuta mtu hata hujui historia yake kwao hupajui kisa kakwambia anakupenda na uongo mwingi unabeba mimba mkishazaa mnaishia kuachwa .
Kazi inabaki kupiga picha na kuweka FB na Instargram "I am single mother" kama kwamba kuna mtu anapenda kulea mtoto mwenyewe hivi mkikituliza mpaka mkaolewa mtapungukiwa nini. Kwanini umtie mzazi wako aibu kwa kuzaa kabla ya ndoa, mnasababisha watoto wa mitaani waongezeke.
wazazi wa siku hizi si ndio watoto wa zamani....kwani ulikuwa hujui