donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,618
- 3,273
Iv wewe hujaona ndoa zilivo na kero siku hizi??mtoto bas....Ndoa zinavunjika mtoto havunjiki
Sababu wanawake wamezidi tamaaaaa za dunia
Iv wewe hujaona ndoa zilivo na kero siku hizi??mtoto bas....Ndoa zinavunjika mtoto havunjiki
Sababu wanawake wamezidi tamaaaaa za dunia
Lini wanawake hawakuwa na tamaa?
Hivi sasa wamezidi tamaa ya dunia na mambo yake ni 600% up from 100% 20 YRS BACK = Ndoa kuvunjika kila siku na kuacha watoto mitaani
Thubutu, haina garantii hiii.
Mi najua kukaba. Nikishabeba hiyo mimba kila siku nakuja kusalimia ukweni na nikifika napika na kuosha vyombo. Mie ndo king'asti, sishindwi kitu. Sema suu nikupokonye zombie
Wanaume hawana tamaa? Ndoa kuvunjika ni sababu ya mwanamke pekee?
Tuanze kunidiskasi tena mie?!!! basi umeshinda.
Dont study me, you won't graduate!!!:nod:
Finally huyu amegraduate...!lol
Acha tu wabebe ila wajue hao walio wapa kama hawatawaoa basi hakuna atae waoa ...nashangazwa na wanaume wenzangu wanao oa binti mwenye mtoto daaaaaaaah i cant believe wanajitoa ufahamu au!?
Mi najua kukaba. Nikishabeba hiyo mimba kila siku nakuja kusalimia ukweni na nikifika napika na kuosha vyombo. Mie ndo king'asti, sishindwi kitu. Sema suu nikupokonye zombie
aliyekudanganya binti anashika mimba hovyo ni nani? siku iz tunapanga tu kiroho safi kuwa single moms. No stress.
Alaf unawalaumu wanawake sababu wao ndo wanabeba matumbo, vipi kuhusu hao waliowasababishia? mnakua mmekula mchele gani? au mmelogwa?
Wanaume hawana tamaa? Ndoa kuvunjika ni sababu ya mwanamke pekee?