Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 599
aisee asante kwa elimu kaka nilishaanza kubishana na akili yangu hapa.hata hivyo vina genye mbaya sana.Hao ni wa kufugwa wapo katika Zoo,na kwa kawaida Nyani jike anapokuwa katika heat huwa dalili zinajionyesha kwa kuvimba hayo maeneo na kila anapochelewa kupata Dume ndio uvimbe huo huongezeka na kufikia katika hatua kama hii unayoiona hapo,tofauti na mwituni ambapo huwa wanaishi katika makundi wakiwa pamoja na madume hivyo ni vigumu kumuona nyani wa porini akiwa katika hali hii..