Mabinamu zetu...Sokwe,Nyani,Kima,Tumbil i nk

tumblr_mb7echI1gE1qargfho1_1280.jpg tumblr_mazkzg0xUb1qbfrr7o1_1280.jpg
 
Kama anaweza kuelezea, nimekua curious kujua

Mpaka sasa najiuliza nianzie wapi kukuelezea,lakini kwa ufupi ni kuwa hawa viumbe huwa wana tabia ya ajabu sana hasa waonapo watu mnawashangaa.Na wakishagundua hilo nao ndio huanza kuwaonyesha utundu wao,na huwa hawachoki..
 
Preta,sisi binadamu tu wataalamu sana wa kuiga styles,sijui mbuzi kagoma,sijui doggy style,mara kifo cha mende,sasa hii ya hawa jamaa kuna mwanadamu anayeweza kuikopy kweli..?? Hahahahahahaahahaah

84667.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kama anaweza kuelezea, nimekua curious kujua

Kawaida yao wanapenda sifa na kuonyesha mapenzi yao mbele za watu ni bora usiwatazame ukiwa na Mkweo,watakutia aibu.Hebu watazame hawa,wametoka kote walikotoka wakaona waje watoe show mbele ya binadamu...

Last edited by a moderator:
Kawaida yao wanapenda sifa na kuonyesha mapenzi yao mbele za watu ni bora usiwatazame ukiwa na Mkweo,watakutia aibu.Hebu watazame hawa,wametoka kote walikotoka wakaona waje watoe show mbele ya binadamu...

Hahahaha somo limeeleweka poa, dah
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom