Mabinamu zetu...Sokwe,Nyani,Kima,Tumbil i nk

masikini wee....kumbe na wao wanapataga ukame.....jamani jamani....

Tena usiombe,ukame wao hauwezi kuridhishwa na mwanaume mmoja hao unaowaona hapo ni wa kufugwa na hakuna dume karibu ndio maana wako hivyo,Ukiwapelekea mwanaume wanaweza kumuua maana wao huwa hata majike yana uwezo wa kubaka...
 
ha ha ha.....hawa bana nshawahi kuwaona wakiwa faragha na memsapu.....usiombe mkwe awe karibu.....ni aibu....

Tena wasivyo na adabu wakishajua unawaangalia ndio wanaongeza ......na hata kama walikuwa hawana nia ya tendo basi wataanza......
 
4258732-Monkeys_at_Galta_Jaipur.jpg

Hawa nao wamo katika kundi moja na ngedere na wanapatikana zaidi nchini India...
 
kuna pia Bonobo....tupe zake huyu.....

Ombi limezingatiwa mama..

8678-bonobo_926693.jpg

Na usipomtazama vizuri unaweza kufikiri ni Sokwe Mtu,laini wanatofautiana kimaumbile Sokwe akiwa mkubwa zaidi,na ninapowakubali hawa ni kuwa huwa wanagombana kwa nadra sana maana majike huwa hawataki dume mgomvi na wao ndo huamua nani apewe tamu na nani anyimwe hivyo kila dume hujitahidi kuwa mtulivu kundini ili mwisho wa siku naye asisahaulike
 
kumbe unawajua eeh....ila nawapenda katika malezi....mtoto akikosa anaadabishwa kisawasawa.....

Hapo katika malezi hata mimi ninawakubali,na inapotokea mama mzembe jike yoyote mwenye uzoefu wa malezi anaweza kumnyang`anya mwenzake mtoto na akamkuza yeye..
 
Ombi limezingatiwa mama..

8678-bonobo_926693.jpg

Na usipomtazama vizuri unaweza kufikiri ni Sokwe Mtu,laini wanatofautiana kimaumbile Sokwe akiwa mkubwa zaidi,na ninapowakubali hawa ni kuwa huwa wanagombana kwa nadra sana maana majike huwa hawataki dume mgomvi na wao ndo huamua nani apewe tamu na nani anyimwe hivyo kila dume hujitahidi kuwa mtulivu kundini ili mwisho wa siku naye asisahaulike

nimeamini mwanamke ni mwisho wa matatizo......kweli tamuu ni tamu....
asante kwa kuzingatia ombi langu.....
 
Hawa kawaida yao wanapoona ugomvi unakaribia kutokea kati ya jike na dume husuluhishana kwa kupeana utamu
 
nimeamini mwanamke ni mwisho wa matatizo......kweli tamuu ni tamu....
asante kwa kuzingatia ombi langu.....

Kuna vitu vingi sana amabavyo tunaweza kujifunza kutoka kwa wanyama lakini
kwa vile tunajiona tunajua kila kitu basi ndio tunaishia kuwa viumbe tunaoongoza
katika kutenda madhambi na kuharibu mazingira yetu wenyewe...
 
zoo_baboons03.jpg

Huyu ndiye Nyani ambaye watu wengi wanashindwa kumtofautisha na Ngedere na hana urafiki,mara nyingi mkia wake huwa umejikunja karibu na shina lake kuelekea chini...

Kagasheki inabidi afanye kazi,haya ma-mama yasposikilizwa haraka yatakaba hadi watu,yani hadi nkafikiri inakuwaje nyani wote wanazaa kwa pamoja? Kumbe wataalam wanaita wako kwenye hot period!
 
Nadhani walioniuliza katika mada ya Mbuzi Mzee wamenielewa ila kama kuna swali nipo tayari kujitahidi kulijibu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom