Mabinamu zetu...Sokwe,Nyani,Kima,Tumbil i nk

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,633
4,513
Sitawachambua kwa undani sana kwani nina imani picha zitajieleza zenyewe.....

es_page_sections_img_thumb_9433_.jpg

Huyu ni Sokwe mtu ambaye anakaribiana sana na binadamu kitabia na hata kijenetiki 98% ya genes zake ni sawa na za mwanadamu..na hana mkia kama wengine..
 
Thank God... am Mbuzi. I will never like to associate with that ...creature.
 
zoo_baboons03.jpg

Huyu ndiye Nyani ambaye watu wengi wanashindwa kumtofautisha na Ngedere na hana urafiki,mara nyingi mkia wake huwa umejikunja karibu na shina lake kuelekea chini...
 
Sitawachambua kwa undani sana kwani nina imani picha zitajieleza zenyewe.....

es_page_sections_img_thumb_9433_.jpg

Huyu ni Sokwe mtu ambaye anakaribiana sana na binadamu kitabia na hata kijenetiki 98% ya genes zake ni sawa na za mwanadamu.. na hana mkia kama wengine..

mkuu hapo kwenye rangi, uwa sielewi! Yaani binadamu pamoja na makeke yake yooote hadi kuingia anga za mbali na hatimaye kukanyaga mwezini, eti Genetic make up kati ya hawa wajomba zetu na sisi, the only difference is only 2% !
 
zoo_baboons03.jpg

Huyu ndiye Nyani ambaye watu wengi wanashindwa kumtofautisha na Ngedere na hana urafiki,mara nyingi mkia wake huwa umejikunja karibu na shina lake kuelekea chini...

huyu ndio yule anaesemekana haoni ninilii lake sio eeeh.....
 
264px-Bristol.zoo.western.lowland.gorilla.arp.jpg

Na huyu ni Gorilla sijui anaitwaje kwa kiswahili ila anapatikana zaidi katika misitu minene hasa sehemu za Kongo,Rwanda ,Uganda na Kusini mwa Kameroon....Hana urafiki kabisa na ndiye mwenye umbo kubwa katika kundi la Homo Eretures
 
huyu ndio yule anaesemekana haoni ninilii lake sio eeeh.....

Ndio huyuhuyu mama na hawa ni majike ambao hawajamuona Dume kwa muda mrefu hivyo huo uvimbe kwa nyuma ndio ishara kuwa wanahitaji...baadaye kidogo nitakutundikia ya Dume hapa...
 
mkuu hapo kwenye rangi, uwa sielewi! Yaani binadamu pamoja na makeke yake yooote hadi kuingia anga za mbali na hatimaye kukanyaga mwezini, eti Genetic make up kati ya hawa wajomba zetu na sisi, the only difference is only 2% !

Yes only 2%...and it is scientifically proved
 
zoo_baboons03.jpg

Huyu ndiye Nyani ambaye watu wengi wanashindwa kumtofautisha na Ngedere na hana urafiki,mara nyingi mkia wake huwa umejikunja karibu na shina lake kuelekea chini...

Duh! Hawa ndio walosababisha msemo wa "nyani haoni kundule"!
 
images

Na afuataye ndiye Ngedere ambaye wengi humfananisha na Kima pamoja na Nyani lakini wako tofauti sana kitabia na kimaumbile pia..kwa jina jingine anafahamika kama Tumbili...
 
220px-MNP_Grey_Languer.JPG

Na huyu ni kima anayepatikana zaidi bara hindi ila hata kwetu tunao na wanajulikana kwa majina tofauti kama Mbega, Kima Punju nk. na sifa yao kubwa ni mikia mirefu na wepesi katika matawi ya miti.Na wana uwezo wa kushikana mikia yao toka upande mmoja wa mto hadi upande mwingine ili kuwatengenezea daraja wenzao..
 
Na afuataye ni kima mara nyingi kima hupenda kutumia muda wao mwingi katika vilele vya miti mirefu na ni nadra kwao kushuka chini tofauti na Nyani na Ngedere.Kima huyu anaitwa Mbega kwa kiswahili...

Colobus_Monkey_with_white_baby.jpg
 
mkuu hapo kwenye rangi, uwa sielewi! Yaani binadamu pamoja na makeke yake yooote hadi kuingia anga za mbali na hatimaye kukanyaga mwezini, eti Genetic make up kati ya hawa wajomba zetu na sisi, the only difference is only 2% !

Actually tunashare 98.2% of genetic make up, hivyo tofauti ni 1.8% tu.
Ila good news ni kwamba they are not 98.2% human but 100% chimpanzee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom