Jana nlikutaja humu kukumiss Faizafoxy...where did u spring from?Tukikubali msaada wa masharti basi pia tukubali kuwa sisi ni watumwa wa asili.
Jana nlikutaja humu kukumiss Faizafoxy...where did u spring from?Tukikubali msaada wa masharti basi pia tukubali kuwa sisi ni watumwa wa asili.
Jumatatu ya pasaka ya tarehe 28 mwezi huu,mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Millenium Challenge Corporation almaarufu kama MCC inakutana kuijadili Tanzania. Tanzania itajadiliwa kama ipewe au isipewe mabilioni ya MCC.
Nyaraka za shirika hilo zinaonesha kuwa Tanzania ilipewa masharti mawili ili iyapate mabilioni hayo. Kwanza,Tanzania ilitakiwa kupambana na rushwa pamoja na ufisadi. Pili,Tanzania ilitakiwa kuumaliza mgogoro wa kikatiba na kisiasa wa Zanzibar.
Tanzania itapata mabilioni ya MCC? Imetimiza masharti?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba,Zanzibar)
kumbe na wewe ndugu unakubali kabisa kwamba Awamu iliyopita ilikuwa "OMBA" "OMBA" !!! Haaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Hata bibi yako pale anakiti cha kuzunguka,ndo unataka tufikie hatua hiyo.Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
lakini hayo masharti ni kwa manufaa yetu wenyewe!! wanasema tupambane na ufisadi je hii ni kwa manufaa ya nani? wanasema wamalize mgogoro wa zanzibar je hii ni kwa manufaa ya nani?? si yetu?
WEWE NA CHABRUMA HIVI NI MAPACHA AUUU???Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Mkuu we sema tu huna uwezo wa ku read between the lines.Mbona unajibu usiyoulizwa?
Nimekuuliza hivi, serikali yako sio tegemezi?
Kweli we masopakyindi!!!Mkuu we sema tu huna uwezo wa ku read between the lines.
Mfumo upi?Umesahau huo ndio ulokuwa mfumo wa nyerere uliofeli vibaya wachambuzi wanasema ilipelekea kustaafu kwa mzee mapema apishe mabadiliko kama ndivyo hivyo #mabadiliko yanakuja
Ccm wote wanatakiwa wawe na moyo wa uvumilivu kama wewe maana zile nafasi za kulipana fadhila za uRC umekosa lakin upo ngangari tu.ila vuta subira kuna nafasi za uDC zinakuja huwezi kukosa maana huwa zinatolewa kwa watu wanaotukana viongozi wa upinzani na kufunga wakubwa kamba za viatu.Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Huyo dada nasikia kisomo hana ... Jamvi la wageni.Ccm wote wanatakiwa wawe na moyo wa uvumilivu kama wewe maana zile nafasi za kulipana fadhila za uRC umekosa lakin upo ngangari tu.ila vuta subira kuna nafasi za uDC zinakuja huwezi kukosa maana huwa zinatolewa kwa watu wanaotukana viongozi wa upinzani na kufunga wakubwa kamba za viatu.
Mkuu TUJITEGEMEE, hilo ni kweli kabisa.Ningekuwa na uwezo kubadili mawazo ya hao watoa ela za MCC ningewalazimisha watunyime ela hizo. Tujitegemee kuendesha shughuli zetu za kimaendeleo kwa rasilimali zote. Nadhani Rais wangu anawaza kama mimi kuhusu hili.
================
Nikwambie kitu, wanahaha mahala pa kuzipeleka hizo ela. Hivyo kazeni uzi maamuzi ya mustakabali wa utawala na maendeleo yetu yatoke kwetu, na kamwe yastoke kwao.
Hahahaah mkuu una uhakika tutafikia huko kuwa donor country kwa sasa??Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Mkuu unalala mlango wazi na kutazamia neema itaingia mlangoni!!
MCC ni chombo chenye malengo ya maslahi na matakwa ya Marekani.
JPM amefanya vema kujikita katika kuondoa taswira ya kuonekana kujikomba kutekeleza matakwa yao.
Na pale wabunge wa Marekani walipokuja bila itifaki aliwatolea nje.
Ni vizuri kama nchi tukawa na moyo wa kujiamini na kujua kile tunachotaka na si kudhalilishwa kwa vimisaada vyenye masharti ya kuondoa heshima ya nchi.
Kimsingi mimi sitegemei MCC kama watabadili maslahi ya nchi yao ili tu walete misaada Tanzania.
Hiyo hela isahau!!!
Mbona kipindi cha JK hamkuyaona haya!! Wakati serikali ina sign Mliweza nini!? Pamoja na mapungufu yake msimdhalilishe JK kwa kusign MCA!!Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.[/QUOTE
Amekusanaya wapi... Umesikia makusanyo ya march ni sh ngap... Naamini mwez ujao warudi kulekule kwa mzee wa msoga
hahahahahaha jf kweli unaondoa stress...Mkuu mbona una hasira kama vile umelazimishwa kuzungusha mikono
Soma majarida yapo kibao.Mbona kipindi cha JK hamkuyaona haya!! Wakati serikali ina sign Mliweza nini!? Pamoja na mapungufu yake msimdhalilishe JK kwa kusign MCA!!
Inaelekea nyie watu hampendi Magufuli afanikiwe!!
TUNA WEZA SONGA MBELE HATA BILA YA HIZO PESA ZA MCC NA KAMA TUTAKOSA PESA HIZO KUTOKANA NA MISIMAMO YETU BASI WAKAWAPE NDUGU ZAO AMBAO WENGINE HULALA MITAANI KWA KUKOSA MAHALA PA KUISHIJumatatu ya pasaka ya tarehe 28 mwezi huu,mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Millenium Challenge Corporation almaarufu kama MCC inakutana kuijadili Tanzania. Tanzania itajadiliwa kama ipewe au isipewe mabilioni ya MCC.
Nyaraka za shirika hilo zinaonesha kuwa Tanzania ilipewa masharti mawili ili iyapate mabilioni hayo. Kwanza,Tanzania ilitakiwa kupambana na rushwa pamoja na ufisadi. Pili,Tanzania ilitakiwa kuumaliza mgogoro wa kikatiba na kisiasa wa Zanzibar.
Tanzania itapata mabilioni ya MCC? Imetimiza masharti?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba,Zanzibar)
Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.