Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
 
Makusanyo ya TRA kwa mwezi mmoja yanashinda hiyo senti ya MCC!
 
Kigezo muhimu ni cha kupambana na ufisadi ambacho Magufuli amekikidhi kwa asilimia 200!
Suala la Zanzibar si kivile maana hiyo ni nchi! na nasikia wamepiga kura Jana kwa utulivu wa hali ya juu!
Vinginevyo watupe zetu za bara!
Unajiita mbingunikwetu ilihali ni muongo kupingukia? Ufisadi gani anepambana nao kwa kiwango hicho? Huo aliopambana nao ni wizi tuu wa kawaida tena petty theft ambao hata polisi na PCCB wangepewa meno wanaweza kuukabili.
Ufisadi ni mfumo wa ulaji pesa za unma unaoonekana kama halali kwa kutumia mikataba kama ilivyokuwa ESCROW, UDA, DART nk, jee huko amefanya nini?
Mbona mbinu zinafanyika Umeya Dar ili kuzuia ufisadi usiibuliwe na ofisi yake iko kimya kana haihusiki?.
Tusijidanganye bado hatujafikia mahali pa kudharau fedha za MCC, labda tuseme tuna nia ya hapo baadae kutotegenea misaada tukisha jipanga vyema
 
Jumatatu ya pasaka ya tarehe 28 mwezi huu,mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Millenium Challenge Corporation almaarufu kama MCC inakutana kuijadili Tanzania. Tanzania itajadiliwa kama ipewe au isipewe mabilioni ya MCC.

Nyaraka za shirika hilo zinaonesha kuwa Tanzania ilipewa masharti mawili ili iyapate mabilioni hayo. Kwanza,Tanzania ilitakiwa kupambana na rushwa pamoja na ufisadi. Pili,Tanzania ilitakiwa kuumaliza mgogoro wa kikatiba na kisiasa wa Zanzibar.

Tanzania itapata mabilioni ya MCC? Imetimiza masharti?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba,Zanzibar)
Bado unawazia fedha za MCC??...
 
Mkuu unalala mlango wazi na kutazamia neema itaingia mlangoni!!
MCC ni chombo chenye malengo ya maslahi na matakwa ya Marekani.
JPM amefanya vema kujikita katika kuondoa taswira ya kuonekana kujikomba kutekeleza matakwa yao.
Na pale wabunge wa Marekani walipokuja bila itifaki aliwatolea nje.
Ni vizuri kama nchi tukawa na moyo wa kujiamini na kujua kile tunachotaka na si kudhalilishwa kwa vimisaada vyenye masharti ya kuondoa heshima ya nchi.

Kimsingi mimi sitegemei MCC kama watabadili maslahi ya nchi yao ili tu walete misaada Tanzania.
Hiyo hela isahau!!!
Mleta mada katoa taarifa tu... Ghafla mnaandika ktk mkondo wa kumshambulia yeye as if ndo kaamua....

Uchumi au uwezo hauoneshwi kwa maneno... Unakwenda kwa namba na vitendo!
 
Mkuu inaonekana umezoea sana kuishi na makahaba
Wewe ndio upo kikahaba maana una mawazo ya kihasidi sana... Ungekuwa na tabia njema usingekimbilia kuwaza wenzako kufurahia shida....

Punguani sana wewe.
 
Kigezo muhimu ni cha kupambana na ufisadi ambacho Magufuli amekikidhi kwa asilimia 200!
Suala la Zanzibar si kivile maana hiyo ni nchi! na nasikia wamepiga kura Jana kwa utulivu wa hali ya juu!
Vinginevyo watupe zetu za bara!
Vipi ESCROW,IPTL,DEEP GREEN,RADAR,MABEHEWA,GAS,BALAL,ATC,AGRECO n.k wameshughulikiwa hasa wanasiasa?
 
Mleta mada katoa taarifa tu... Ghafla mnaandika ktk mkondo wa kumshambulia yeye as if ndo kaamua....

Uchumi au uwezo hauoneshwi kwa maneno... Unakwenda kwa namba na vitendo!
Ndo kulala mlango wazi yenyewe..... kutegemea neema ikija shoto kulia, weye ule tu!!!
 
Wewe ndio upo kikahaba maana una mawazo ya kihasidi sana... Ungekuwa na tabia njema usingekimbilia kuwaza wenzako kufurahia shida....

Punguani sana wewe.
Mkuu mbona una hasira kama vile umelazimishwa kuzungusha mikono
 
Mkuu mbona una hasira kama vile umelazimishwa kuzungusha mikono
Mi siwezi pata hasira kwa wenye tabia za kikahaba!!! Wanaotumia viungo vya uzazi kufikiri badala ya kichwa!
 
Unajiita mbingunikwetu ilihali ni kupingukia? Ufisadi gani anepambana nao kwa kiwango hicho? Huo aliopambana nao ni wizi tuu wa kawaida tena petty theft ambao hata polisi na PCCB wangepewa meno wanaweza kuukabili.
Ufisadi ni mfumo wa ulaji pesa za unma unaoonekana kama halali kwa kutumia mikataba kama ilivyokuwa ESCROW, UDA, DART nk, jee huko amefanya nini?
Mbona mbinu zinafanyika Umeya Dar ili kuzuia ufisadi usiibuliwe na ofisi yake iko kimya kana haihusiki?.
Tusijidanganye bado hatujafikia mahali pa kudharau fedha za MCC, labda tuseme tuna nia ya hapo baadae kutotegenea misaada tukisha jipanga vyema
Hakuna aliyedharau fedha za MCC..Zimesaidia miradi mbalimbali na bado zinasaidia...

Wengi wanataka tujiongeze kwenye ukusanyaji wa mapato kupitia vyanzo vyetu vya ndani mfano kodi kupitia TRA..Bandari..Utalii n.k...

Tuondokane na utumwa wa kutegemea fedha za wafadhili zenye masharti ya hovyohovyo...Kama suala ni kupambana na ufisadi tupambane kwa dhamira na si tupambane na ufisadi kwa shinikizo la Wamarekani..Na hata hilo la Zanzibar si lazima walitumie kama kigezo cha sharti la kutoa msaada...

Ingawa bado ufisadi upo lakini kwa kiwango kikubwa serikali ya awamu ya 5 imeonesha dhamira ya kupambana nao..

Kuna nchi zinalazimishwa kupitisha sheria ya kubariki ushoga kwa sababu tu ya fedha za misaada kama hizo za MCC..Huu ni utumwa ambao hatutakiwi tuuendekeze..

Bahati nzuri Rais wetu ameonekana kutotetereka na hao wafadhili...Hajasafiri kwenda kuwapigia magoti kuomba watupe fedha za MCC ama kuomba msaada wowote..Zaidi anaonekana kuwa na ndoto ya kuongoza nchi inayojitegemea...Ndoto ambayo ni nzuri kwa mustakabali wa Taifa letu...

It can be done, play your part...
 
Mi siwezi pata hasira kwa wenye tabia za kikahaba!!! Wanaotumia viungo vya uzazi kufikiri badala ya kichwa!
Kweli Leo nimeamin umelala sinza makaburini na madada poa
 
Vipi ESCROW,IPTL,DEEP GREEN,RADAR,MABEHEWA,GAS,BALAL,ATC,AGRECO n.k wameshughulikiwa hasa wanasiasa?
Suala ni kuonyesha mwelekeo na nia ya dhati ya kupambana na ufisadi! Hilo ndilo linalotakiwa! Ni Mdogo Mdogo hata huko escrow Magufuli atafika! Kwa sasa dunia inashuhudia taratibu mathubuti za kuanzisha mahakama ya mafisadi hapa Tanzania! Mafisadi papa waanze kutia MAJI!
 
Back
Top Bottom